Recent content by tutafikatu

 1. tutafikatu

  Rais Samia: Hospitali za Rufaa za Mikoa zinakufa

  Niliwahi kuandika mwaka 2016 kumsihi Mheshimiwa Rais Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli kwamba asizihamishe Hospitali za Rufaa za Mikoa kutoka TAMISEMI kwenda Wizara ya Afya, kwa sababu Hospitali hizi zilinufaika zaidi kiutawala zilipokuwa chini ya TAMISEMI...
 2. tutafikatu

  Maajabu: Kusajili Domain yako kupitia UCC ya UDSM unapaswa ujaze fomu kwenye word document

  Kuna mambo fulani ukiyafikiria unaishia kuhuzunika tu. Ukienda University Computing Center ya University of Dar es Salaam, kama unataka usajili Domain Name kupitia UCC, unapaswa kujaza form iliyoko kwenye word format, kisha uwatumie. Ati hizi ndio taasisi za serikali zinazopaswa kutuondoa...
 3. tutafikatu

  Viongozi Wizarani Wasikwapue Kazi za Uandishi Wafanyazo Watumishi Wadogo

  Kumekuwa na tabia ya kipindi kirefu sana, za viongozi waliopo katika Wizara mbalimbali kuwatumia watumishi waliopo katika taasisi zilizopo chini ya Wizara hizi, kutengeneza taarifa mbalimbali. Bahati mbaya sana, viongozi wa Wizara wakitengeneza machapisho kutokana na kazi hizi zilizofanywa na...
 4. tutafikatu

  Rais Samia: Serikali imempatia Mzee Mwinyi zawadi ya gari aina ya Benz ya chini

  Dini tena. Duh! Ila pesa hizo zingetumika kwenye mambo ya msingi. Tumesema tumeathirika kwa Corona, inakuwaje unazoa zawadi kubwa kama gari.
 5. tutafikatu

  Kwanini mume wa Rais Samia Suluhu hajaambatana na mkewe ziarani Kenya?

  Kwani sisi Rais wetu ni Mama Samia au Baba Samia? Tuna mambo mengi ya muhimu zaidi ya haya.
 6. tutafikatu

  Kwa bei hizi ni akina nani hununua bidhaa kutoka maduka ya Street Soul ya Dar es Salaam, Arusha na Mwanza?

  Mimi huagiza mavazi nje. Bei ya chini ya Mkanda niliowahi kuchukua ilikuwa dola 60 pasipo gharama za kusafirisha wala ushuru TZ. Hivyo nikinunua mkanda kama huo, na kuusafirisha, jumlisha na kodi gharama zake zitakuwa ni zaidi ya 180,000/=. Hivyo sioni tatizo hapo. Kila mtu huona majani ni yale...
 7. tutafikatu

  Rais Samia nia yako ni njema lakini hao unaowaongoza akili zao wanazijua wenyewe

  Sema hujawahi jua nini unahitaji. Usiwaweke watu kwenye kundi moja.
 8. tutafikatu

  Maparachichi ya Tanzania yanavyouzwa nje ya nchi kwa kupewa uraia mpya

  Vitu vingine tujiongeze wenyewe. Tusiwe walalamishi tu. Hizo markets tuzitafute.
 9. tutafikatu

  Tahadhari: Utapeli ndani ya benki

  Point mkuu. Unaweza ukaumia watu wanavyojibizana, kumbe wajitesa... Wao wanafahamiana.
 10. tutafikatu

  Tahadhari: Utapeli ndani ya benki

  Kwamba mkuu huu uzi hujaufurahia au? Naona mmeamua kuharibiana siku. Sisi yetu macho.
 11. tutafikatu

  Bill & Melinda Gates watalikiana

  Maisha haya mafupi, kuna kitu kitatokea...
 12. tutafikatu

  Binti wa TB Joshua kuolewa Arusha

  https://xstamara.wordpress.com/2020/12/17/prophet-tb-joshuas-daughter-weds-in-lagos/
Top Bottom