Recent content by TUTABAMS

  1. T

    Kwako Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi

    Kwanza kabisa naomba pokea salamu zangu na za watu wangu wa karibu. Pili naomba niwapongeze kwa utekelezaji wa majukumu mazito wa ujenzi wa Tarifa letu pendwa Tanzania. Mh. Katambi,takribani wiki ya pili sasa nipo Dodoma ndani ya wiilaya yako ya Dodoma mjini. Katika pitapita zangu kwenye...
  2. T

    Jaffo: Wapiga kura zaidi ya milioni 15 sawa na 68% wajiandikisha uchaguzi serikali za mitaa Arusha, Kigoma na Kilimanjaro zashika mkia

    Wakimaliza wabandike majina ya kila kituo kwenye kituo.walichojiandikisha Wananchi waone ukweli.Hahaha!! Nmeamini Watanzania.sio wanyonge kama bwana yule anavyojitapa ndani ya Tbccm.
  3. T

    Kwa Mara ya kwanza TBC yatangaza mkutano wa CHADEMA

    @P. Mti ulikaa chini yake upate kivuli,juu umejaa kunguru na popo,ona wanavyokunyea waziwazi.Kuitetea ccm lazima ujitoe ufahamu hasa na ukubali kudhalika na kudharauliwa na jamii na ww umechagua upande huo.Pole sana ndugu P. Siku hizi kila bandiko lako linaonekana shudu,halina afya kwa Taifa.
  4. T

    CUF: Kuzuiwa kwa mikutano ya kisiasa na kukosekana kwa uchaguzi huru na wa haki ni sababu ya wananchi kudorora katika kujiandikisha kupiga kura

    KUNA SABABU MOJA KUBWA NA YA MSINGI INAKWEPA KUTAJWA" NIKUTEUWE MM,NKUPE GARI,MAFUTA,NYUMA,NIKULIPE MSHAHARA ALAFU UMTANGAZE MPINZANI HAKUNA NEUTRAL HAPO"
  5. T

    Is aristocracy gone? (are we aristocratic or democratic?)

    Ntarudi.ngoja niongeze bando hapa kwa mango.
  6. T

    Zoezi la kujiandikisha, nashauri watu wafuatwe majumbani kama Serikali inataka kufanikiwa, badala ya kuwasubiria watu kwenye vituo

    Hii ndio athari za mkuu wa kaya kutokuwa na speed gavana ya domo,alivyokuwa akibwabwaja huku na huko...Ooooh!! Nkuteuwe nikupe kila kitu alafu umtangaze yle huna kazi...wa2 wanampigia makofi na nderemo akajiona bonge la mjanja! Kumbe wa2 wanamchora...ona sasa leo anawanyima wakuu wa mikoa...
  7. T

    Zoezi la kujiandikisha, nashauri watu wafuatwe majumbani kama Serikali inataka kufanikiwa, badala ya kuwasubiria watu kwenye vituo

    Hahahah! Hii inaitwa mbuzi kagoma style!! Mnyonge kamua kuweka ukondo pembeni,kasimamisha shingo kama beberu linalotaka kupigana! Hivi, huyu Yohana si ndio yule tuliokuwa tunaaminishwa anakubalika na watu wote, inakuwaje wa2 wanakula kona hawaungi mkono juhudi za kujiandikisha??? "WATANZANIA SIO...
  8. T

    Makonda: Maduka yote Dar yafunguliwe saa tano kesho

    Msilale kabla.ya kukamilisha mahitaji yenu ya asbuh,wale.wa.sigara,sukari,mkate,majan ya chai n.k.pale kwa mangi. Kesho hafungi had SAA 5. Naomba mnisaidie kumwuliza,vipi Shell,magenge,hotel,hospital, radio station,migahawa,wasafirishaji,bodanoda,daladala,masoko, vyuo & mashule nao.wafunge hadi...
  9. T

    Uandikishaji Wapiga Kura 2019: Baadhi ya hoja za wasio tayari kujiandikisha ni hizi...

    P,kadiri ya siku zinavyoenda unazidi kupotea ndugu.yangu umeamua kujitoa ufahamu angali una akili timamu,embu ona humu hata wale ambao wana umri wa wanao wanavyokuvua nguo humu.Yuko wapi yule Mayalla(njaa). Huyu alivimbiwa ametokea wapi, Kabla sijabadili ID nilikuwa n mmoja wa watu niliokuwa...
  10. T

    Uandikishaji Wapiga Kura 2019: Baadhi ya hoja za wasio tayari kujiandikisha ni hizi...

    Umejipanga kutwa nzima juani kupiga kura,alafu police anakuja kuondoka na box la kura alafu analirudisha baada ya Masaa ma3,zinahesabiwa anatangazwa mgombea wa ccm ameshinda kwa kishindo,nani yuko tayari kwa upumbavu huo.
  11. T

    Hii si dalili njema kwa Watanzania na Tanzania kama nchi, tujitafakari kwani huenda kuna mahala tumekosea

    Naomba kujuzwa: Endapo chama ccm kitachukua viti vyote na kuturudisha enzi ya Uchumi wa kujamaa, Je! Tume ya uchaguzi NEC bado itaendelea kuwepo? Je! Msajili wa vyama na office yake itaendelea kufanya kazi zake? Je! Uteuzi wa viongozi ngazi mbalimbali ndani ya ccm utafanyika kwa njia ya...
  12. T

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Imagin...Mungu.hafanyi kazi.kama unavyofikiria.jiulize umefanya maovu mangapi(achilia mbali hii uliyoañdika hapa na bado upo hai).Mungu hana akili za kibinadamu,Hakuna alilokosea ulimwengu na vilivyo ni vyake. Amekupa Uhuru na domocrasia ufanye unachotaka lkn alishatoa taratibu zake pamoja na...
  13. T

    Dalili zinaonesha zaid ya 50% ya watu wenye sifa ya kupiga kura hawajajiandikisha na sababu wamezitoa, usishangae tukadanganywa Takwimu

    Hapo awali watu walijiandikisha kupata vitambulisho vya kura kwa shughuli zao binafsi.Uwepo wa National ID pamoja na kukidhiri kwa upinduaji meza wa matokeo ya kura kipindi utangazaji matokeo ya uchaguo,umeondoa kama sio kushusha ile morali ya kujiandikisha hata kwenye upigaji kura,na hili...
  14. T

    Mzee Lowassa kuwasamehe Bure wanaccm na wanachadema waliomnyanyapaa na kumtuhumu ufisadi ili kunusuru siasa za nchi yetu

    Jambo jema,Ila aanze kujisamehe kwa kutotaka kuongea ukweli ilihali aliujua. Naomba unisaidie kumwulia, Vipi wale M6 waliompigania ambao wengi wao walitiwa ulemavu wa maisha,waliofungwa jela,walioporwa biashara na mali zao,badae akaja kuwasalitia akaenda kuunga mkono juhudi Ameshawaomba msamaha...
  15. T

    Mzee Jakaya Kikwete awaasa viongozi kuwa kujishusha hakukufanyi usiwe kiongozi. Kujimwambafai hakukufanyi uwe kiongozi zaidi

    Nawaz tu....Hii speech huenda ikamletea tabu mstafu JK siku za mbeleni,hakuna sehemu aliyopongeza wala kusifia juhudi za awamu ya 5, sijui wakujimwambafai pale nyuma ya theluji anajisikiaje!!!
Back
Top Bottom