Recent content by TUPAMBANE

  1. T

    Ni kweli kabisa Dua la Kuku halimpati Mwewe lakini naomba Simba wapoteze mechi ya leo CCM Kirumba

    acha uwendawazimu simba kushinda ndiko kunafanya club zingine zipambane kumkimbia myama na kwa kupitia kupambana kwao huko ndiko tunaenjoy ladha ya mpira na ligi inakuwa tamu sio mtu mnapishana point 15 mpaka inafikia wakati mwingine kocha anaamua kumpanga beki kuwa mshambuliaji au winga
  2. T

    Baada ya matokeo ya mechi za leo kundi la Taifa stars ni la kifo.

    kuna mijamaa wao magoli yao ni ya vichwa tuuu kuna lijamaa linaita chapamoteng dah nomo akikutana mwamnyeto au dikson job wala haruki atakuwa anauelekeza mpira anakotaka
  3. T

    Ukipewa timu ya AZAM utafanyaje ili angalau iwe kama TP Mazembe

    swa SWALI ZURI SANA. Kwanza kabisa AZAM Watafute kocha mwenye profile kubwa sana kuliko AZAM na pia kocha mzuri (binafsi wachukue makocha kutoka nchi hizi mbili German na France. Sababu ni kwamba nimegundua makocha wa hizo nchi mbili wanawajua sana kuwatumia wachezaji wa kiafrica vizuri na...
  4. T

    Uuzaji wa cement kwa rejareja

    Habari naomba kuuliza changamoto za uuzaji wa cement kwa rejareja na faida zake na hasara zake. Pia naomba kwa mwenye uzoefu chumba kimoja cha futi kumi kwa kumi kinachukua mifuko mingapi ya cement (yaani kina uwezo wa kupokea mifuko mingapi kwa wakati mmoja) ni cement ipi yenye faida nzuri na...
  5. T

    kuku kuzunguka na kukimbia kimbia hovyo na kukosa balance

    Hatoi udenda nilishawachanja siku nyingi
  6. T

    kuku kuzunguka na kukimbia kimbia hovyo na kukosa balance

    sorry kichwa cha habari Ni kuku kuzubaa na kuzunguka zunguka na kukimbia hovyo nimeshindwa ku edit
  7. T

    kuku kuzunguka na kukimbia kimbia hovyo na kukosa balance

    Habari wadau wa ufugaji, Nina kuku wangu ninayempenda sana amepatwa na kaugionjwa bado sijakaelewa. Ugonjwa wenyewe ni kukimbia kimbia na kuzungua na kukosa balance na kuanguka akisimama. Hapo ni kukimbia tena yaani kuna saa unaibuka na kuna saa anakuwa kama anataka kuwa sawa ila tatizo hawi...
  8. T

    Simba SC 2 - 1 Aigle Noir C.S à Arusha Tanzanie

    wamecheza vizuri ila inaonekanika mpishi wa magoli hakuna
  9. T

    Kelele za kikanisa jirani na nyumba yangu

    pole sana swala la imani ni la kuvumiliana tokea lini mtu akafa kwa kelele. jenga mazingira ya kufanya hizo kelele kuwa burudani yako ili siku zako sisogee achana kabisa na maswla ya dini ya mwenzako au kuingilia maswala ya dini. wakati mwingine anaona adhana kama ni kero kuna mwingine anasema...
  10. T

    Makundi kufuzu Kombe la Dunia yakoje?

    Habari, Nauliza group iliyopo timu yetu ya Tanzania mshindi atakayeongoza ndiye anaenda kombe la Dunia moja kwa moja? Au kuna mchakato mwingine baada ya hapo? (DR Congo, Madagascar Benin na Tanzania) Kama ndiyo yalivyo hivyo naona kama kuna kabahati hivi kwenye group letu au jinsi group...
  11. T

    Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa

    Ni kweli kabisa sasa tumeshindwa kujua idadi ya watu ambao wako nyuma yake hivyo ilipaswa wavunje miguu huku wakienda naye kwa umakini ili kupata data Muhimi pengine ile ilikuwa chambo tuu kupima nguvu ya maaskari wetu ikoje na tiyari wameshaijua
  12. T

    Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    duuu sipati picha huyo wa bajaji speed yake hapo najaribu kujiuliza wenye pikipiki ilikuwaje je miguu ina speed kuliko pikipiki? chezea kitu cha chuma weweeee? taarifa hao wa pikipiki wameonekanika kimasichana
  13. T

    Huko CAS vipi ile ishu ya Morrison

    Habari, leo ndio kuna fununu ya ile kesi ya kijana wetu mpendwa Morrison kule CAS. Je kuna mwenye taarifa yeyote?
  14. T

    Dawa ya kuku mpya tatu kwa moja inapatikana wapi kwa Mbagala, Kariakoo na Buguruni

    Nashukuru nilipata mbagala na wala sikusumbuka mwaka jana niliulizia nikaambiwa hawaijui nami nikakata tamaa ila jumamosi niliipata na kuwapa kuku asanteni kwa wale mliodhubutu kunisaidia
  15. T

    Dawa ya kuku mpya tatu kwa moja inapatikana wapi kwa Mbagala, Kariakoo na Buguruni

    watu wote kimya hakuna wa kunisaidia aliyeweka No anataka atumiwe tu hela yeye haelewi somo lingine tuma hela utaupata mzigo wako. mimi mpe dereva tukabidhiane ana kwa ana hataki
Back
Top Bottom