Recent content by Tuntufye01

  1. Tuntufye01

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakaka mnapenda sana "makalio yetu" wanawake......na nyie simnayo?

    Ndo kinyongeo wakat wa kazi kifua hata nyani anacho
  2. Tuntufye01

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa uma kutoka serikali ya wanafunzi UDSM

    45000 Kwan mwaka Buena waache tyu haina maana awamu ijayo wanafunzi tuombe kupiga kura tukiwa mahali popote waisome namba iliyo mlima Kilimanjaro na wenyewe na tuwe name umoja tusisahau ushirikiano maana tutakula mikate mpaka tumboni patajaa sponji za mikate na sisi wanna udom 45000 kwa mwaka...
  3. Tuntufye01

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Nenda jf garage
  4. Tuntufye01

    JamiiForums Tanzania Serikali wapeni nafasi ya kusoma vijana wetu

    Uongozi wa nchi wapeni nafas VIJANA wetu wasome acheni siasa kwenye elimu eti Mara GPA 3. 5 Mara 3. 9, mnakera Sana je walio na 2. 7-9 mnamikakati gani nao au ndo kutuandalia waharifu siku za mbeleni na hzo pia ni namba tena ni daraja moja na 3. 0 zote ni lower second. Mnaumiza VIJANA wetu bhana
  5. Tuntufye01

    JamiiForums Tanzania Serikali yangu umekatisha ndoto zangu za masomo

    Siku zote kambi popote njoo kyela tulime mpunga tupate Ada mi nimekosa mkopo chuo nikakichukia kabisa
  6. Tuntufye01

    JamiiForums Tanzania Haya ya HESLB, TCU na ukosefu wa ajira yanaumiza!!!

    Day kweli walipuuza ila wamejifunza awamu nyingine hata liwekwe jiwe tunalipigia
  7. Tuntufye01

    JamiiForums Tanzania Line Up yangu ya kumchinja Jogoo wa Anfield ili tumlie Pilau

    Man utd maneno mengi vitendo -0
  8. Tuntufye01

    JamiiForums Tanzania Line Up yangu ya kumchinja Jogoo wa Anfield ili tumlie Pilau

    Kifo cha shetani ni leooooooooooo
  9. Tuntufye01

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya vijana kukosa nafasi za kusoma

    1. Kuongezeka kwa vibaka na wizi mtaani. 2. Uchumi kuwa palepale. Maana kheri kuwa na wasomi wengi hata kama hawana kazi watajiajiri na kuweza kulipa kakipato kama kodi kwa serikali. 3. Mawazo mabaya kwa vijana Yatasababisha vurugu kwa kujiunga ktk magroup mabaya na hatarishi ili...
  10. Tuntufye01

    JamiiForums Tanzania Profile yangu ya HESLB wanamanisha nini kuniandikia hivi?

    Nishaipata dah serikali ye2 inatupa presha kila mda, asante sana mkuu
  11. Tuntufye01

    JamiiForums Tanzania Profile yangu ya HESLB wanamanisha nini kuniandikia hivi?

    Eti mkuu pasword tunayotumia ku login n ipi?
  12. Tuntufye01

    JamiiForums Tanzania Kuchaguliwa chuo ishakuwa kiki jf

    [emoji1][emoji1][emoji1]
  13. Tuntufye01

    JamiiForums Tanzania Nikichaguliwa chuo afu nisiende kuripoti!

    Duh pole sana
  14. Tuntufye01

    JamiiForums Tanzania Nikichaguliwa chuo afu nisiende kuripoti!

    Kwann uchague kitu ambacho hukipendi hata kama ni last prio
  15. Tuntufye01

    JamiiForums Tanzania Cuting point of TCU

    Hahahaaaa pole zake watamtumbua
Back
Top Bottom