Profile yangu ya HESLB wanamanisha nini kuniandikia hivi?

watu na mikopo kama kungunii na shukaa
 
Inavyoonekana waliodesign web ya mikopo sio IT kutoka rwanda mbona kama vile haieleweki kabsa ina maana yale yote tulkojaza yalikuwa ni mauza uza tuuuu jamani
 
Vumilia Mkuu mambo yatakua sawa.
Rais wetu kasema hakuna atakae kosa mkopo
 
Inavyoonekana waliodesign web ya mikopo sio IT kutoka rwanda mbona kama vile haieleweki kabsa ina maana yale yote tulkojaza yalikuwa ni mauza uza tuuuu jamani
Sio IT kutoka Rwanda????
 
wanaJF msiwaze sana kuhusu hilo swala coz ukiingia olas.heslb.go.tz utapata ujumbe unaokwambia kwamba haukuomba mkopo kwa mwaka 2016/2017 but ukiingia kwenye hiyo hiyo site then uka click sehem wamekuambia wanaotakiwa kurekebisha taarifa muhimu jaza kwa usahihi kama s then school no then namb yako then mwaka wa kumaliza....... kukiwa na error kwenye form yako ya mkopo utaambiwa kwa mfano no gurrente ID na kama hakuna makosa utapata huu ujumbe
Fomu zenye Matatizo.
Enter your Form Four index Number Below.
Form Four Index No:

? ? ? ?

School Name : MOSHI TECHNICAL [ S0135 ]
Full Name : PATRICK, ALFRED D
Your Loan Application form is Complete, No Ploblems were found.

mpaka hapo utajua kwamba umeomba mkopo kwa usahihi na kilichobaki unasubiria tu umepewa asilimia ngapi......................AHSANTENIII.....
 
Yani nimesoma Mara 5 hapa nashindwa kuisoma form yangu niki log in tu naambiwa you have not secured loan pemben mkono wa kulia juu kuna maandishi yanapita yanasema you have completed stage O of 5
Hapo hapo mkono wa shoto zike information kuanzia M Pesa payement zote Niki click zinakuja sahihi ila ya chini kabisa mwisho ni ( Application status) Niki click inasoma Your information is in completed pls fill other information wakat zote zipo kwa usahihi mpk primary information.

Naomba nisaidie mana form yangu haikuwa na makosa na majina yalipokuja langu halimo
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom