Tuntufye01
Member
- Oct 6, 2016
- 19
- 10
Dah unabahati sana
UDOM na mzumbe bado wametulia tuwakubwa habari zenu...........????? naomba msaada wa aliyeona au anajua 2nd round ya ARU,CBE UDOM MZUMBE ya MBEYA kama imetoka.
kwel n mwendo wa kuisoma.mkono mfupi haulambwi ahaaa ni ile ile namba wata isoma
Ana bahat ngoja sakata la ukaguz wa wanafunz lirud tena. Atajua kama ana bahat au laDah unabahati sana
kufaulu ni akili na bahat daima huwa nawambia...cut mark hujafika ila una bahat so usishangaeWakuu naomba kuuliza kama ninachokiona ni sawa au vp nina DEE but nimechaguliwa second round ya bachelor watakuwa wamekosea au?
kama huyo ana bahat si shangah hao wenye div 2 wakilia lia na mkopo wasipatekufaulu ni akili na bahat daima huwa nawambia...cut mark hujafika ila una bahat so usishangae
We ni polisi au mwendesha mashtaka!!???weka ushahidii
Uyo sahihi wewe,huoni hizo 4 points au we kipofu??mbona wengi tu mwingine ana CEF yupo udsm kaz kwako......
Kama kweli komaa baba ila mkopo hutapewa na omba Ndalichako asiwashtukie, pia yawezekana vyuo ni vitupu labda wameshusha cut off point kimyakimya.Sitanii mkuu we toa ushauri wako
very sad kama una ona amekidhi vigezo wale 8000 walitoka wap mana weng ndo wastahili hii AEE,BEE,CEE,.... na walikuwa wana andikiwa kabisa not passed kwenye matokeo yao kidato cha sta labda ipite huruma 3rd round vinginevyo ni kosa la ma it wetuUyo sahihi wewe,huoni hizo 4 points au we kipofu??
Niliwaza hvo kuwa wamepunguza au ndio maana nikaja huku kupata ushauri asante mkuu nasubili loan wakizingua naenda bumbuli diplomaKama kweli komaa baba ila mkopo hutapewa na omba Ndalichako asiwashtukie, pia yawezekana vyuo ni vitupu labda wameshusha cut off point kimyakimya.
Kinachohitajika ni point 4 kwa masomo ma2.Refer marekebisho ya TCU,hata AFF anachaguliwa,Japo ni nadra kutokeavery sad kama una ona amekidhi vigezo wale 8000 walitoka wap mana weng ndo wastahili hii AEE,BEE,CEE,.... na walikuwa wana andikiwa kabisa not passed kwenye matokeo yao kidato cha sta labda ipite huruma 3rd round vinginevyo ni kosa la ma it wetu
AFF hawezi kuchaguliwa kwasababu ana cutoff point ya 5 lakini hana principal pass 2Kinachohitajika ni point 4 kwa masomo ma2.Refer marekebisho ya TCU,hata AFF anachaguliwa,Japo ni nadra kutokea
kama ni hivo vyuo vingepata watu weng karbia vyuo vyote angalau baed na bed ndo kuna wanafunzi kozi zilizo baki ni huruma kwa kwer embu angalia dit must tia wanavo sita sita kutoa post huruma kubwa cbe yan kama kikipata ata wanafunzi 500 campus ya dar ni haueni ndo madhara ya matamko.......Kinachohitajika ni point 4 kwa masomo ma2.Refer marekebisho ya TCU,hata AFF anachaguliwa,Japo ni nadra kutokea
Hahahaaaa pole zake watamtumbuaAna bahat ngoja sakata la ukaguz wa wanafunz lirud tena. Atajua kama ana bahat au la
Ndalichako hana huruma kama huna vigezo unakaa pemben, ata kama familia yenu maskin yy huwa ajal
Ukaguzi wa vyeti vyako utafanyika wakati wa kudahili chuoni-ndio maana wanataka uende na vyeti halisi. Sali saaaaana upite hatua hiyo na wakikunasa basi umenunua kesi.Wakuu naomba kuuliza kama ninachokiona ni sawa au vp nina DEE but nimechaguliwa second round ya bachelor watakuwa wamekosea au?
Bora asiende tu la sivyoUkaguzi wa vyeti vyako utafanyika wakati wa kudahili chuoni-ndio maana wanataka uende na vyeti halisi. Sali saaaaana upite hatua hiyo na wakikunasa basi umenunua kesi.
Sasa kama TCU ndio wamenichagua nafanyeje?Bora asiende tu la sivyo