Recent content by Tunkamanini

  1. T

    Tetesi: Baada ya Makamba, mabalozi watatu, wakuu wa mikoa watatu na wakuu wa wilaya saba kutumbuliwa

    Watakuelewa tu JPM, nchi iko na mkuu wa nchi mmoja tu, urais hauna ubia.
  2. T

    Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

    Shule mnaondoka weupe afu mnakuja kuhubiri ukilaza wenu humu, rejea shule walau hata civics ya form two "forms of government " ujifunze nini maana ya dictatorship.
  3. T

    Who ever watched live couples having sex ? I had an opportunity today

    Hahaha..jf raha sana, kwamba jamaa kafanya research kagundua zaidi ya 95% ya wadada wa jf ni mamong'o saizi hadanganyiki.
  4. T

    Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

    Hahahahaa...hawa jamaa kweli wamefilisika kisiasa, Tanzania is a sovereign state na haipangiwi kwa vyobyote na hao mabwana zao namna ya kuendesha mambo yake.
  5. T

    Makonda amwandikia ujumbe Zari wa Diamond

    Kama unalijua huwezi lazimisha mtu akupende kwa nini ulazimishe RC ampende TL? kutokumpenda mtu lini imekuwa excuse ya kuvunja sheria?
  6. T

    Makonda amwandikia ujumbe Zari wa Diamond

    Kama ni dudu basi ni mende kabisa sio tu hana akili bali ananuka pia, kuambiwa ukweli ni vitisho? hivi ni nani anayeweza kuvumilia uvunjwaji huu wa sheria kwa utaratibu wa kulindana kwa fake ids? haufagilii ujinga ungekuwa ushakemea, useng.e ni wako unayeoneka wazi kummis huyo basha wako...
  7. T

    Makonda amwandikia ujumbe Zari wa Diamond

    Nyie siku zenu zinahesabika, huwezi lalamika kila siku unaonewa wakati huohuo kwako kuonea wengine iwe haki, mkumbuke jinai haina muda kwa hiyo kujificha nyuma ya keyboard na kuinsult government officials eti kwa sababu huwapendi tu na uone ni haki yako usidhani utakuwa salama wakati wote, ni...
  8. T

    The Citizen: Doctors’ report awaited to airlift Tundu Lissu to the US

    Upuuzi mtupu inakera kweli, mtu kama huyo unapoteza muda eti kumwomba Mungu unasahau kama ni Mungu huyohuyo unamwomba kila siku aibariki na kuilinda Tanzania dhidi ya maadui, badala ya kupeleka viongozi wa dini kumwongoza sala ya toba wanapeleka tu matapeli na maopportunists wenzao tu, hovyo kweli.
  9. T

    Makonda amwandikia ujumbe Zari wa Diamond

    Mgeanza kuwauliza mama zenu kwanza huenda alikuwa anatafuta mtoto si kila siku mnasema hazai.
  10. T

    Makonda amwandikia ujumbe Zari wa Diamond

    Mika.haba mingine bhana, kwani lazima upendacho wewe na yeye apende? naanzaje kumpa pole mtu nisiyependa upuuzi, na uhayawani wake uexist kama sio unafki? na siku za huu mtandao mnazifanya zihesabike kwa mambo ya kishenzi kama haya..kutompenda mtu haimaanishi umemuua au umeatempt kumuua...
  11. T

    Magufuli anapotoshwa au vinginevyo?Kisa cha Hon. Justice Dr. Eliezer Mbuki Feleshi

    Binafsi sina tatizo sana na utendaji wa Mhe. Rais, naiona dhamira yake ya dhati kabisa katika kulipeleka Taifa mbele, bado ninaimani kubwa sana na JPM kiutendaji. Yako mengi Mhe. Rais anayofanya na kutufanya wengine tubaki midomo wazi na hivyo kushindwa kuelewa whether ni yeye au wasaidizi wake...
  12. T

    Mtakaofutwa kazi kwa vyeti feki nendeni Mahakamani

    Wakili wa kujitegemea anaweza mkuu, just unaomba kibari kwa DPP, isije ikawa ni mchezo fulani kumbe, wanasheria wanalijua hili vizuri, isije ikawa ni...hii Mange kasema naanza kuiogopa sasa.
  13. T

    Magufuli is confused big time! Sikiliza

    Haya maneno kama yanaingia vile kwa mbali, ngoja nifikirishe nijinasue kama ni tego.
  14. T

    Mkuu wa Wilaya Mteule wa Mbozi, Ally Masoud Maswanya ajiuzulu

    Acha Magufuli awanyooshe, naona matusi yamepungua weshaanza kuipata habari yao wengine kimyakimya tu.
Back
Top Bottom