Kaumbwa mdudu mwenye umbo kama la nzi lakini anawaka taaa..!binaadam hatumii betri...! sayansi haiwezi na haitokuja kuyajibu haya.mola awasameh hawa hawajui walinenalo.
Sent from my SM-G985F using JamiiForums mobile app
Mfano quran ukiichambua elimu zote zimo ndani ila kwenye kuchanganua ndo uwezo kapewa mwengine.na aliepewa uwezo wa kuchanganua nalo linaji'mwambafai'[emoji3]
Sent from my SM-G985F using JamiiForums mobile app
Tik tok wameizuia kwa khofu ya jamii zao kuharibikiwa.na cc tunazuia kwasababu zetu.walete pesa mchele upo hapa na maharage wakutosha.
Sent from my SM-G985F using JamiiForums mobile app
Ndo maana ulipewa akili uweze kuchanganua mabaya na mazury...!unaweza kuzini na mama yako?kama mnyama asiekua na akili???basi kama huwezi hiyo ndo uwezo wa mola kukupa kuweza kujua baya na zury...!kupewa mtihani ni kukuthibitishia ukubwa na neema ya kuweza kuitumia...! na kuijua thamani ya akili...
Kutoka kua kwa maji maji ya manii na kua kipande cha nyama haikutosha kuthibitisha ukubwa wake mola muumba mbingu na ardhi??basi hautosadiqi hata ikawaje ....!ikiwa upepo unakupepea bila yakuuona na maji pasinakua na rangi...!ukiona vyaelea ujue vimeundwa...!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.