Waislam kwanini mnaangalia mwandamo wa mwezi?

Waislam kwanini mnaangalia mwandamo wa mwezi?

Haya mambo yalipewa kipaumbele huko nyuma kwa sababu watu walikosa majawabu ya kisayansi ya maswali mengi waliyokutana nayo.

Hivyo wakaweka salvation/solution yao kwenye supernatural powers and hence the question of God! With modern science where one can get scientific answers to an array of unanswered puzzles, haya madini yote yatakufa kifo cha taratibu!
Yalikuepo kabla ya uzao wa babu zako ....!na itaendelea kuwepo mpaka vizazi vijavyo...!ww ishi viji'miaka vyako vichache ukufwe zako.
 
Mkuu ila wewe na mimi tunapaswa KUAMINI habari hizo kuhusu mwaka na tarehe. Angalau Waislamu wanaweza kuona na kuhesabu wenyewe. Pamoja na hayo, mfumo wetu wa kalenda si kisayansi sana. Kuanza Mwaka kwenye Januari haifuati mantiki yoyote ila mapokeo ya utamaduni wa mbali sana, yaani Rumi (kabla ya kuzaliwa Kristo).
Pia tunaendelea kufuata mchana na usiku, ambayo ni tata ukitaka mfumo wa kisayansi ya kukadiria wakati.
Ila kimsingi ujumbe wangu: Wailsamu wakiangalia mwezi ni mtindo mojawapo wa kuhesabu wakati. Hakuna uhusiano na ushirikina au magic au imani potofu. Ina namna yake ya mantiki, ingawa si mtindo unaofaa kuratibu wakati kwa watu walio wengi duniani.
Nimekupaya vema. Lakini mwezi una maana zaidi ya wakati, time. Unawekwa kama ishara Fulani Kwenye misikiti, nembo Kwenye karatasi za ofisi etc etc. Mwezi una maana zaidi ya kudefine time Kwenye uislamu au spacetime maana according to Einstein these two are inseparable ie space and time are interwoven......
 
We jamaa wewe hebu pingana na hii aya kwanza ya hao waislam

2:189. Wanakuuliza khabari ya miezi. Sema: Hiyo ni vipimo vya nyakati kwa ajili ya watu na Hija...
 
Nilidhani unatuchokoza na kutuchungulia lakini nilivyosoma comment mbali mbali kumbe unataka tu kuelimika na watu wamekujibu vizuri karibu tena
 
Mwezi ni alama ya kum tambua mwenyezi Mungu tu kama lilivyo jua na Nyota nyinginezo

Waislam kufunga mwezi wa Ramadhani ni Amri kutoka kwa Mwenyezi Mungu

Na sio tunafunga kufuata mwandamo katika mwezi huu tu hapana

Bali tarehe na kalenda kamili ya kiislam inafuata mwandamo wa mwezi kwa kipindi cha mwaka mzima
Kuna kitu umenena hapa nilikuwa sijui. Japo Mimi ni mkristo lakini umenifunua jambo.
 
Mimi kinachonishanga nikwamba mwezi na siku za kuanza mfungo ni zinabadilikabadilika haziko fixed kama mfungo wa kwarezma, inakuwajekuwaje hii kitu nidadavule vzuri nielewe
Hata kwaresma Huwa inabadilika Mkuu, christmass ndiyo Iko fixed.
 
WENGI WAO wanaangalia mwezi kwa sababu mataifa mengi yanatumia Gregorian Calendar na sio Islamic Calendar na kwahiyo inakuwa ngumu kufahamu siku ya kuanza na kumaliza funga.

Kwa nchi za Kiislam, wengi wao wanatumia Islamic Calendar ingawaje na zenyewe zinatumia mzunguko wa mwezi. Hata hivyo, hawa hawasubiri mwezi uonekane kwa sababu tayari wana Watalaamu wao wa kusoma mienendo ya mwezi, and trust me, nimewahi ku-experience hiyo life, mara nyingi kama sio zote huwa HAWAKOSEI.

Kwa mfano, Ramadhani ya Mwaka 2055 Itakuwa March 30, 2055
View attachment 2562608

Na ukitaka kujua hawakosei, Ramadhani ya 2023 walishaionesha tangu kitambo kwamba itakuwa March 23....
View attachment 2562615

Na Iddi inaonesha itakuwa April 21, yaani Jtano... keep that date!!! Na hata ukitaka kujua Ramadhani ya mwaka 2100 itakuwa lini, ukiingia kwenye Kalenda zao utakuta ni November 03, 2100, na Idd itakuwa December 03, 2100

Anyway, ukiona hizo tarehe zimekuja tofauti basi ni ile kutokana na akina sie ambao bado tunatumia "Fungeni na fungueni kwa kuuona mwezi au inapotimia siku 30"!
Acha kudanganya watu Kuna nchi 19 wameanza kufunga Jana ikiwepo India , Pakistan na Indonesia
 
Acha kudanganya watu Kuna nchi 19 wameanza kufunga Jana ikiwepo India , Pakistan na Indonesia
Watu wengine bhana!! Kwahiyo kama kuna nchi 19 zimeanza jana ndo inafanya isiwepo Islamic Calendar ambayo inaonesha hizo tarehe bila kuangalia mwezi?!

Na hivi umeelewa maana ya sentensi ya mwisho ya akina sie wa "fungeni na fungueni kwa kuona mwezi"?! Kuna wangapi Tanzania wanaweza kuanza kufunga leo na wengine wakaanza kesho kwa sababu hawajauona mwezi?!

Na hata huko India unakosema, India Today wanakuambia:-

RAMADAN 2023: CHANGED START DATE​

According to a statement made by Lucknow's Markazi Chand Committee, the moon for Ramadan 2023 was not visible on March 22 evening. As a result, this year's first Ramadan will begin on March 24.
India Times la huko huko India, na wenyewe wametoa ratiba ya Ramadhan

India.png

Associated Press, jana March 22 waliandika:-
JAKARTA, Indonesia (AP) — Millions of Muslims in Indonesia are celebrating the holy month of Ramadan that was set to begin Thursday as many grappled with soaring food prices as a result of supply disruptions following Russia’s invasion of Ukraine.
Sasa kama Indonesia wamefunga jana, how come tena habari ya jana iseme Ramadan inaanza Alhamis?! Au hiyo jana ndo Alhamisi?

ACHA KUKURUPUKA
 
Miaka yote dini inayegemea sheikh akachungulie mwezi ndo awatangazie wenzie badala ya kubuni MOBILE APP .....ShutUp!
 
Haya mambo yalipewa kipaumbele huko nyuma kwa sababu watu walikosa majawabu ya kisayansi ya maswali mengi waliyokutana nayo.

Hivyo wakaweka salvation/solution yao kwenye supernatural powers and hence the question of God! With modern science where one can get scientific answers to an array of unanswered puzzles, haya madini yote yatakufa kifo cha taratibu!
Dini haitakufa, itaendelea kuwepo milele! Science ni mambo au matukio ya kidunia, na binadamu anaitafuta science au tekinolojia ili kumuwezesha kurahisisha maisha yake. Kwa mfano, science na tekinolojia ilimsaidia binadamu kugundua au kutengeza gari, ndege, na meli ili imrahisishie kutembea umbali mrefu kwa muda mfupi.

Lakini linapokuja suala la dini, hili ni jambo linalohusu imani. Imani inaendana na mambo ya kiroho, na sio kidunia. Katika suala la imani, binadamu anaamini yupo aliyemleta hapa duniani, ambaye ni Mungu! Hivyo, imani lengo lake ni kudumisha mahusiano kati ya huyu binadamu na yule aliyemleta (Mungu)

Kumbe science na dini ni vitu viwili tofauti, na haviingiliani kwa namna yoyote ile. Hivyo basi, hata kuwe na maendeleo (mabadiloko) ya kiwango gani katika science na tekinolojia, tusitegemee dini (imani) itakuja kukoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwezi ni alama ya kum tambua mwenyezi Mungu tu kama lilivyo jua na Nyota nyinginezo

Waislam kufunga mwezi wa Ramadhani ni Amri kutoka kwa Mwenyezi Mungu

Na sio tunafunga kufuata mwandamo katika mwezi huu tu hapana

Bali tarehe na kalenda kamili ya kiislam inafuata mwandamo wa mwezi kwa kipindi cha mwaka mzima
Acha uongo waislam hamna kalenda! Kama ipo inakuaje Ramadhani ije kwa kushtukiza waislam wengine imewakuta bar wako chakali na wengine wanachakachuliwa
 
Acha uongo waislam hamna kalenda! Kama ipo inakuaje Ramadhani ije kwa kushtukiza waislam wengine imewakuta bar wako chakali na wengine wanachakachuliwa
Chizi sio mpaka avue nguo

Kwan hakuna wakristo kwaresma inawakuta wakiwa kwenye viuno vya makahaba

Ebu jaribu kuficha upumbavu wako mbele ya umma
 
Chizi sio mpaka avue nguo

Kwan hakuna wakristo kwaresma inawakuta kwenye viuno vya makahaba

Ebu jaribu kuficha upumbavu wako mbele ya umma
Inawakuta wenye mioyo migumu kwasababu mkristo anafaham dhahiri mfungo wa quaresma ya mwaka 2024 utaanza tarehe ngapi na itakua siku gani kwa kuangalia kalenda.

Nyie wavaa madera kalenda yenu ni sheikh wa Bakwata kuchungulia mwezi usiku wa manane kama muwangaji.

Kalenda yenu infact imepelekea masheike kulazimika kufuga majin na kuwanga usiku ili wakiona mwezi tu wanarudi fasta kutawaza na kwenda msikitini kuimba swallaaah kwa sauti zao mbaya kama teja mzee. Bisha
 
Hapo ndio maana nikakwambia wewe ni mpumbavu.

Kifupi wapo wakristo wanakutwa na kwaresma wakiwa kwenye viuno vya makahaba

Sasa umesema hawana kalenda mara wanayo kafunzwe kujadiliana kwanza.
 
Hapo ndio maana nikakwambia wewe ni mpumbavu.

Kifupi wapo wakristo wanakutwa na kwaresma wakiwa kwenye viuno vya makahaba

Sasa umesema hawana kalenda mara wanayo kafunzwe kujadiliana kwanza.
Ok mpumbavu anakuuliza, Eid itakua lini?
Jibu kama wewe sio kiharage!
 
mama yako ndo amekufundisha kusoma kalenda hivyo?

Jibu swali, kama kweli dini yako na majini inakalenda Eid lini?

Jibu kama mtu ambae hautekenywi njia kuu.
Nakupa kipande cha kalenda hii kwanza mpumbavu wewe alafu utaimalizia mwenyewe

Unaropoka kama umetokewa na papa
JamiiForums-1347421777.jpg
 
Back
Top Bottom