I wish one day, ijulikane ni wazawa wepi wanafanya biashara kubwa na TANESCO. Kati yao ni nani anapata the lion share. Mengi hakosi. Tatizo la Muhongo ni kusema ukweli kwa maneno ya ukweli mtupu. We are poor to invest on oil and gas exploration, it is simple and clear. Do you know Muhongo is not...
Wengi katika Bunge walikuwa wanacheza drama! Watu waunganisha story kama za movie tangu 1995 had sasa in one hour. Nani msafi? Zito> Mbowe> Olesendika aliye taka kuua Meru.. akapona na hela ya Mengi!!! Aiibu sana. It is great shame...nani anaiuzia umeme TANESCO kwa bei nafuaa?? Kama sio IPTL...
Mengi atatumia kila mbinu kumuondoa madarakani mtu yeyote, kulinda maslahi yake yaliyojificha kwenye dini na misaada ya kejeri. Atatumia hela kwa Olesendika, Sita n.k kutimiza haja zake. Shame.
Yaani umekosea kupita kiasi. Mkeo ni Mkeo tu hawezi kuwa re-placed na mwanamke mwingine - a housegirl is just a woman. Ongea naye Mkeo tu... anashida huyo, ikiwa tu ni mwaminivu kwenye ndoa yenu. Kutoka nje kwa sababu hupati ndani ni ubinafsi na udhaifu tu! Utateseka sana kisaikologia, mbaya...
Unatakiwa kujua kuwa..Kenyata anaanza na budget ya bilioni 6 Kenyan shillings..... zilizowekwa ka ajili ya marudio ya uchaguzi, kasema ndio atatatumia. Sumsung wamekubali kujenga kiwanda for this ambitious plan..... he can deliver... wait and see
Inasikitisha sana kusoma maoni kama haya! Unajua kungetokea nini kama wanajeshi wasinge onekana mitaani. Kama kuna watanzania ambao wanachoma makanisa, kuchinja polisi, kuharibu mali za watu, kutishia usalama wa nchi na kujaribu kuvamia Ikulu basi serikali ina haki ya kutumumia nguvu zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.