Escrow ni zaidi ya uijuavyo: Wabunge wagawanyika

Escrow ni zaidi ya uijuavyo: Wabunge wagawanyika

Na Mengi naye yumo katika kuliandaa bomu hili tena?! Am not surprised.
 
Hapa kuna kambi mbili tena wengine huwa ni maadui lakini ktk hili sakata wameungana kwa mda ili wakimaliza lengo kila mmoja aludi kule kwa zamani. Kuna Kambi ya Mhongo,naibu wake,mawaziri wa zamani wa nishati,Maswi,Werema, Tibaijuka, pinda na wenzao kibao. Kuna kambi ya Mzee mengi, mkono, Zito, kafulila na wenzao wakiwemo wahindi kibao wenye Mgongano wa kimasilahi huko wizara ya Nishati. Hapa wengi si kwamba wana Uchungu na IPTL Bali wana usongo na Waziri Mhongo baada ya kuwanyima Vitalu vya Gesi huku Mkono akinyang'anywa Tenda za kisheria ameungana na Mzee mengi kupambana na Mhongo kwa nia ya kupigania Masilahi Yao Binafsi lakini sasa wanasaka Huruma za watu ili wawasaidie kujinufaisha. Hilo kundi la Werema wao wanatuhumiwa kujitotea mkwanja wa IPTL peke Yao pasipo kuwamegea akina Mkono ndiyo Maana wahindi wapinzani wa Yule Singasinga mmiliki wa IPTL wamechanga Pesa wakampatia Mengi akawapatia Zito na kafulila ili wapaze Sauti akiamini Kuwa Mhongo atajiuzulu na yeye kujitwalia Vitalu vya Gesi kiulani, Hapa kikubwa ni Mgongano wa Masilahi Kati ya Mengi na Mkono. vs Maswi na mkono, Wenye Uchungu na pesa ni Wananchi pekee lakini hao akina Mkono wapo after money tu.

Poa. Acha walipwe wafunguke. Tuwajue wachawi wetu wavaa suti.
 
Nimemsikia Maswi katika press conference na waandishi wa habari anaongea kwa kiburi na ubabe na kejeli kuu. Hata kama ni kweli amesingiziwa lugha aliyoitumia inaonesha ni jinsi gani alivyo arrogant. Speech yake imejaa maneno kama washenzi, wajinga, tumbili na maneno mengine ya kejeli.
Mwache yeye atoe hayo maneno yake ya kejeli, akijiamini kutokana na mfumo wa chama chake wa kulindana.

Lakini ni lazima pia atambue kuwa IPTL/ Escrow scandal it's a unque case.

Ndani ya skandali hii, utatokea pia mnyukano wa makundi ya urais, ndani ya chama tawala.

Kutokana na hali hiyo, watanzania kwa mara ya kwanza tokea mfumo wa vyama vingi urejee nchini, mwaka 1992, tutashuhudia wabunge wengi wa CCM, wakiungana na wale wa ukawa, wakiwasulubu kwa pamoja, yale 'majizi' yetu, yaliyotukwapulia pesa zetu za umma zinazofikia shiingi bilioni 321.

Kwa hiyo mwisho wa siku ndiyo tutajua ni nani hasa tumbili 'original' ni yeye Maswi au Kafulila?
 
Mwanasiasa neno la kumwamini ni salamu tu, kama alivyoelezea mkuu funza, Hapo ni vita ya maslahi binafsi baina ya kambi za Uraisi na vile vile kati ya hao madalali na wezi rasilimali zetu.
Hapo hakuna mwenye uchungu na Hizo pesa awe Zitto, Kafulira, Werema, Mhongo au Serukamba
 
Last edited by a moderator:
Hapa kuna kambi mbili tena wengine huwa ni maadui lakini ktk hili sakata wameungana kwa mda ili wakimaliza lengo kila mmoja aludi kule kwa zamani. Kuna Kambi ya Mhongo,naibu wake,mawaziri wa zamani wa nishati,Maswi,Werema, Tibaijuka, pinda na wenzao kibao. Kuna kambi ya Mzee mengi, mkono, Zito, kafulila na wenzao wakiwemo wahindi kibao wenye Mgongano wa kimasilahi huko wizara ya Nishati. Hapa wengi si kwamba wana Uchungu na IPTL Bali wana usongo na Waziri Mhongo baada ya kuwanyima Vitalu vya Gesi huku Mkono akinyang'anywa Tenda za kisheria ameungana na Mzee mengi kupambana na Mhongo kwa nia ya kupigania Masilahi Yao Binafsi lakini sasa wanasaka Huruma za watu ili wawasaidie kujinufaisha. Hilo kundi la Werema wao wanatuhumiwa kujitotea mkwanja wa IPTL peke Yao pasipo kuwamegea akina Mkono ndiyo Maana wahindi wapinzani wa Yule Singasinga mmiliki wa IPTL wamechanga Pesa wakampatia Mengi akawapatia Zito na kafulila ili wapaze Sauti akiamini Kuwa Mhongo atajiuzulu na yeye kujitwalia Vitalu vya Gesi kiulani, Hapa kikubwa ni Mgongano wa Masilahi Kati ya Mengi na Mkono. vs Maswi na mkono, Wenye Uchungu na pesa ni Wananchi pekee lakini hao akina Mkono wapo after money tu.
Aah...give us a break. This is total speculation.
 
Kweli mkuu watanzania tunachezewa tu akili,katika hawa yumo mmoja alikopa bot akachoma moto,mwngne alikua analipwa mabilioni ya watanzania na tanesco et mwanasheria

Wewe na kuna tezidume lenzako linajiita Funza mmechelewa sana kuja na propaganda za kizamaaani! Yaani leo mnajifanya mmeacha kuwaamini wabunge wote mpaka hawa wa kwenu wa Magambani kwasababu tu wameikomalia ishu ya Singasinga mwizi?
Hamuwezi kututeka wenye akili zetu kirahisi hivyo. Tuwaache Wabunge walifanyie kazi jambo hili.
 
wabunge wa ccm ni wanafiki wakubwa hawana maana yoyote
 
Bila ya kujali nani yupo kambi ipi, swali la muhimu kujiuliza, pesa za ESCROW Account ni za umma au za kampuni binafsi? Kama ni za umma, zilipelekwa serikalini kama inavyostahili? Hayo mengine ya kambi za urais yaje baadaye kuwa matokeo ya kuumbuana, lakini habari muhimu ni hizo mbili nilizouliza!
 
Wewe na kuna tezidume lenzako linajiita Funza mmechelewa sana kuja na propaganda za kizamaaani! Yaani leo mnajifanya mmeacha kuwaamini wabunge wote mpaka hawa wa kwenu wa Magambani kwasababu tu wameikomalia ishu ya Singasinga mwizi?
Hamuwezi kututeka wenye akili zetu kirahisi hivyo. Tuwaache Wabunge walifanyie kazi jambo hili.

Hakuna mbunge wote wapigaji tu,labda mbowe na mbatia tu
 
Hakuna mbunge wote wapigaji tu,labda mbowe na mbatia tu

Wewe ni gamba tu usijifanye kutuvika kilemba cha ukoka ili tuwe upande wa hoja zako. Waache wabunge wapige kazi kwa ishu hii mpaka kieleweke. Wakiwa wapiga dili au sio sisi hatuangalii, katika ishu hii lazima mtu aning'inizwe.
 
Hapa kweli hakitoki kitu maana naona watu wanakaba kukwepesha shabaha, na watanzania ni wazuri kweli kutengeneza marafiki wa kupata faida wakati wa matatizo, ila mwisho tutakuja kukosa pa kupitia
 
Wewe ni gamba tu usijifanye kutuvika kilemba cha ukoka ili tuwe upande wa hoja zako. Waache wabunge wapige kazi kwa ishu hii mpaka kieleweke. Wakiwa wapiga dili au sio sisi hatuangalii, katika ishu hii lazima mtu aning'inizwe.

Kwani mi nimewafunga miguu wasipige kazi mbona unatumia makalio kuwaza bwana mdogo wangu,this is too high for you chunguza mienendo yako
 
Kwani mi nimewafunga miguu wasipige kazi mbona unatumia makalio kuwaza bwana mdogo wangu,this is too high for you chunguza mienendo yako

Wenzio walikuja na mbinu mpaka za kujitangaza maradhi yao ambayo ni siri yao na daktari ili waonewe huruma lakini imedunda, ndo zitakuwa hizi hoja zako zisizojaa kiganjani?
 
Wabunge wa Bunge la Tanzania wamegawanyika waziwazi juu ya issue ya Escrow na wengine wakiomba muda uongezwe ili kuwaumbua wale wanaotumika na kambi moja ya urais ili kupotosha umma juu ya fedha za Escrow
Sasa wakuu niulize, wezi wakiiba wengi unakuta wana chomwa moto wengine wanaenda jela miaka kadha,sasa hao walochukua hizo pesa nao watafanywa kama wanavyo fanyiwa kama wengine au hao wanakua na hukumu yao au ndio mtu akisha jiuzulu basi na pesa harudishi au inakuwaje waungwana naomba MUONGOZO...
 
Huyu maswi mbona ana majibuno hivyo? Kweli watu wamelewa madaraka aisee dah!!jk anawatoa wapi watu hawa ?
 
Back
Top Bottom