Issue ni kuwa Wachagga type ya Ben Saanane (Warombo) ni nouma kwa roho mbaya na ukabila-kapigana kumuondoa ZZK CDM wabakie wao tu na baadae kumtetea fisad Lowasa , sasa ZZK ana shine wakat yeye na Lowassa wanafifia
mim ni msimamizi wa Uchaguzi-sikuwahi kufuatwa na mtu au kiongozi yeyote ili nimsaidie kuongeza kura kwasababu wanajua haiwezekani kwasababu kura zinahesabiwa kituoni na utaingizaje kura wakat mawakala wa vyama wapo na wasimamizi walikuwa ni vijana 5 ambao ni wa vyama tofauti? hali kadhalika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.