gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,358
- 3,420
Nimepata muda na kufanya tafakari ya kina inakuwaje mtu makini kama mh Mnyika akimbie tatizo. Naamini kiongozi ni kama baba wa familia anatakiwa kuonesha dira na kuhakikisha familia ipo salama. Mh mnyika ni kipi kimekukimbiza Ubungo?
Labda ulaghai uliopitiliza kwenye ahadi ambazo kwa kiasi kikubwa zimegeuka hewa mfano maji ambapo kwa eneo kubwa la jimbo lako ni tatizo kubwa.
Labda kuogopa kuwajibishwa kupitia sanduku la kura baada ya kutokidhi matarajio ya wananchi?
Labda safari hii wana UDSM wamekubwaga kukupigania?
Labda mgombea wa CCM ananguvu,hoja na uwezo wa kukidhi matarijio ya wananchi?
Unafikiri Kibamba ni mbali kiasi hicho?
Kwenye ubunge unakimbia jimbo kwenda jimbo lingine ukipewa fursa ya kuwania nafasi ya Urais utakimbilia wapi?
Hili ni funzo kwa wote ambao hii ndio mara ya kwanza kuingia kwenye vinyang'anyiro mpunguze ahadi zisizo tekelezeka kwa watanzania kwani kwa kufanya hivyo safari yenu haiwezi kufika popote mtaishia kukimbia kimbia.