Recent content by Tumbua

  1. T

    Pesa za kifisadi zilizofichwa Uswisi-Geneva

    L akini hatimae walipata chochote ambacho kimeweza kufanya kitu nchini Nigeria, na naamini wahusika watachukuliwa hatua.
  2. T

    Pesa za kifisadi zilizofichwa Uswisi-Geneva

    Je, Tanzania ikitaka kujua wenye pesa hizo na pia kutaka kujua kama zilipatikana mkwa njia zisizo na shaka pamoja na kuzilipia kodi?
  3. T

    Pesa za kifisadi zilizofichwa Uswisi-Geneva

    Typographical errors, ila umeelewa?
  4. T

    Pesa za kifisadi zilizofichwa Uswisi-Geneva

    Ndugu e Ndugu, elekeza njia sahihi ya kufuata. Asante.
  5. T

    Pesa za kifisadi zilizofichwa Uswisi-Geneva

    Wana-Fb pole na kazi. Nimeamua kuja na suala la fedha zilizowahi kutajwa na Mh. Zitto kuwa zimefichwa kwenye benki za SWISSI, na kuwa alikuwa tayari kusaidiana na kamati yoyote ili kuweza kurudisha pesa hizo za WALAKA-HOi hapa Tanzania, "ZOEZI au JITIHADA zake ziliishia wapi?" Juhudi zifanywe...
  6. T

    Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    PESA KIFISADI ZILIZOFICHWA USWISSI-GENEVA, AZOSEMWA MH. ZITTO KABWE ZIMEFIKIA WAPI? ZINARUDISHWA LINI AU MHESHIMIWA MKUU WA KAYA HAJAKUMBUSHWA?
  7. T

    Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Jamani, inawezekanaje kuilipa kampuni pesa zote za mkataba? Nijuavyo malipo hufanywa kufuatana na jinsi kazi inavyokuwa inafanywa. Ilitakiwa walipwe kwa awamu, kulingana na kazi iliyokusudiwa ilivyokuwa inafanyika. Kwa hili, ni vema mh. akakaa pembeni ili uchunguzi ufanyike, kwani akiwa pale...
  8. T

    Kulikoni JHPIEGO Dar es Salaam

    Kazi zinatangazwa kupitia mtandani...ZOOM
  9. T

    Kulikoni JHPIEGO Dar es Salaam

    Pale JHPIEGO kuna kikundi cha wafanyakazi kwenye idara ya rasirimali-watu wameunda kikundi cha watu nchi nzima, hasa maeneo shirika linakofanya kazi au kutegemea kufanyakazi, ili kuwarubuni watu wanaotafuata kazi kwa nafasi zinazotangazwa na kuwarubuni kutoa sh. 500,000/- ili waweze ajiriwa...
  10. T

    Baada ya kujua mshahara wa Rais, Mtujuze sasa mshahara wa mwenyekiti wa CHADEMA

    Ndugu, usichanganye haya mambo, Rais wa Tanzania ni Mh. magufuli, na ndiye aliyezungumzia mishahara y wafanyakazi wake, sasa hapo Mh. mbowe anaingiaje? Hii siyo siasa...tafuta lingine uesme tukujibu.
  11. T

    Uchunguzi wa kina ufanyike juu ya ufisadi wa baadhi ya wafanyakazi wa JHPIEGO

    Pale JHPIEGO kuna kikundi cha wafanyakazi kwenye idara ya rasirimali-watu wameunda kikundi cha watu nchi nzima, hasa maeneo shirika linakofanya kazi au kutegemea kufanyakazi, ili kuwarubuni watu wanaotafuata kazi kwa nafasi zinazotangazwa na kuwarubuni kutoa sh. 500,000/- ili waweze ajiriwa...
  12. T

    Tanzania inaweza kufanya nini kukabiliana na pigo la wafadhili?

    Wakati umefika kurudisha kipembele cha kila mwekezaji, hasa wanaochimba madini yetu, kuhakikisha wanabakiza asilimia 60 ya mapato yote hapa Tanzania, na wao wanapeleka 40% huko nje. Yaani pesa za kigeni asilimia 60 zibaki nchini kwenye akaunti ya hazina ili Tanzania iweze ku accumulate pesa za...
  13. T

    Naombeni kujua tezi dume kwa mapana

    Tezidume si ugonjwa, bali ni kiungo, ila kama chemchembe za damu zilizo ndani ya tezidume zinapoasi na kufuata mfumo usiyo rasmi basi husababisha tezidume kuanza kuadhirika na ugonjwa wa saratani..hivyo kupelekea ugonjwa huo kuitwa saratani ya tezidume.
  14. T

    Naombeni kujua tezi dume kwa mapana

    Tezidume ni kiungo cha uzazi cha mwanaume kilicho chini ya kibofu cha mkono, kiungo hicho ndipo mkojo na shahawa vinakopita. Ni kiungo ambacho kina virutubisho vinavyowezesha mwanaume kumpa mimba mwanake. Ni kiungo muhimu sana kwa uume wa mwanaume.
  15. T

    Majibu ya Waziri Simbachawene hayaridhishi, kuna harufu ya ufisadi

    Waziri Simbachawene anatoa majibu ambayo hayaeleweki kabisa. Washauri, kama walivyo EWURA, wanaajiliwa ili watoe ushauri na ushauri yapaswa yazingatiwe kwani wao ni wataalamu na wanategemewa sana serikali. Iweje mtu kama waziri anayehimiza uadilifu atoe maamuzi yanahusisha Sh.40 billioni bila...
Back
Top Bottom