Naombeni kujua tezi dume kwa mapana

Namba unavyoambukizwa
Dalili
Vipimo
Tezidume ni kiungo cha uzazi cha mwanaume kilicho chini ya kibofu cha mkono, kiungo hicho ndipo mkojo na shahawa vinakopita. Ni kiungo ambacho kina virutubisho vinavyowezesha mwanaume kumpa mimba mwanake. Ni kiungo muhimu sana kwa uume wa mwanaume.
 
Namba unavyoambukizwa
Dalili
Vipimo

Tezidume si ugonjwa, bali ni kiungo, ila kama chemchembe za damu zilizo ndani ya tezidume zinapoasi na kufuata mfumo usiyo rasmi basi husababisha tezidume kuanza kuadhirika na ugonjwa wa saratani..hivyo kupelekea ugonjwa huo kuitwa saratani ya tezidume.
 
Tezidume ni kiungo cha uzazi cha mwanaume kilicho chini ya kibofu cha mkono, kiungo hicho ndipo mkojo na shahawa vinakopita. Ni kiungo ambacho kina virutubisho vinavyowezesha mwanaume kumpa mimba mwanake. Ni kiungo muhimu sana kwa uume wa mwanaume.

Kwahiyo ndio kusema yule jamaa:eek::eek::eek::eek::eek::eek:
 
Tezidume si ugonjwa, bali ni kiungo, ila kama chemchembe za damu zilizo ndani ya tezidume zinapoasi na kufuata mfumo usiyo rasmi basi husababisha tezidume kuanza kuadhirika na ugonjwa wa saratani..hivyo kupelekea ugonjwa huo kuitwa saratani ya tezidume.

Binafsi nilijua saratani ya tezi dume inasababishwa na kusafiri sana na ndege:oops::oops::oops::oops:
 
Nadhani mwanzo kabisa unatakiwa kufahamu kuwa si lazima hilo tezi dume likiongezeka ukubwa basi ni saratani...laweza kufanya hivyo pasipo kuwa na saratani...ila kuna usumbufu kama kushindwa kupitisha mkojo kwa urahisi au kushindwa kabisa ...nk
 
Nimekutana na hii kwenye kutafuta tafuta kwangu
 
Attachments

  • 1459429181728.jpg
    1459429181728.jpg
    39.6 KB · Views: 51
Back
Top Bottom