Pale JHPIEGO kuna kikundi cha wafanyakazi kwenye idara ya rasirimali-watu wameunda kikundi cha watu nchi nzima, hasa maeneo shirika linakofanya kazi au kutegemea kufanyakazi, ili kuwarubuni watu wanaotafuata kazi kwa nafasi zinazotangazwa na kuwarubuni kutoa sh. 500,000/- ili waweze ajiriwa pale.
Watu hao wanasema waziwazi kuwa pesa hizo ni za mkurugenzi wa rasirimali watu.
Iringa na Mbeya kuna wafanyakzi waliyopewa jukumu hilo wawili {Jabu na Ngeresa} na hao wawili wanawasiliana na vigogo wawili walio makao makuu ya JHPIEGO, mmoja ni mwaume aitwae KLAUS na mwingine mwanamke aitwae REHEMA.
Tunaomba uongozi wa JHPIEGO Tanzania ufanye uchunguzi wa kina kuhusu watu hao, halafu ikiwezekana hata waombaji wa kazi aelezwe kabisa kuwa hakuna mtu au kikundi cha watu waliyotumwa kuomba pesa toka kwa waombaji wa kazi.
Chondechonde tunaomba wafanyakazi hao wasiharibu jina la shirika hilo.