Recent content by tumbelo

  1. T

    Kituo cha mafuta cha BIG BON Msimbazi/Congo na jengo HSC kuvunjwa

    Moro nako..nsemee...stend kuu ya mabas ya zamani ya mjin kati..pale kwenye kivuko cha waenda kwa miguu zilopo ofisi za tigo..ni open space ..rusha ilihalalisha adam store akavunja viti vya kupumzika wananchi akajenga ghorofa..plz JPM
  2. T

    Rungu la TRA lafika BAKWATA, yapewa siku saba kuwasilisha nyaraka

    Mbona itskua aibu kubwa tukitaja misamaha ya madhehebu mengine..tatoa folen ya matipa yakiuza mchanga.!
  3. T

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Wote wadhanifu ni wajinga.aliyesafir na mtikila ambae ni mchungaji ameelezea yaliyojiri..wa umemsikiliza?
  4. T

    Over 710 people killed, 863 injured outside Mecca in Hajj crush

    ----- utamwelewa kwa maneno yake.huwabhana dini ,huabudu masanamu na ameruhusu ndoa jinsi moja ...ss yupi ni laana hapo
  5. T

    Prof. Lipumba arejea nchini

    Kanu kazaa ford kenya ford asili -ukawa then orange jibilee.kwa kiyo kuhma chama ni kawaida
  6. T

    Prof. Lipumba arejea nchini

    Kwenye part manifesto ya chadema hakuna kupiga vita ufisadi.tunataka consistent and sustainable policie na misingi itakayosimamiwa na chadema.iliteracy inatuua
  7. T

    CCM bado Chafu: Mafisadi wa Escrow hawajakatwa

    Aaaahh ..mbona unajichanganya kwan lowasa ni haohao Richmond na Escow...mpo hapo..kiinimacho cha Chadema kumpokea mzee wa hatar sn
  8. T

    UKAWA inahitaji maombi, mapambano ni makali mno

    Na bado....CDM ilipandishwa chat na agenda za ufisadi ..je lowasa alitusimama hadharan kuendeleza kubambana na ufisadi au ataeleza asivohusika na ufisadi ?..aibu...hoja ipi ya kampeni?
  9. T

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Mwala huu mtasema kola neno..! juz akimkaribisha lowasa mkasema prof nae ni jembe.! leo katoka anatupiwa mawe. Na bado game ni 25
  10. T

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Lowasa si mzee...mbona yuko sick hawezi maliza rally
  11. T

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Acha ufala we...yaelekea we mtu wa masanumu eee!
  12. T

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Itakua hivi 1.Gharb Bilal 2.Mizengi Pinda 3.Asha Migiro 4.Magufuli 5.Agustino Ramadhani
  13. T

    Kikao cha Kamati ya Maadili CCM chaanza usiku wa leo (Julai 03, 2015)

    Mtume hakuabidu masanamu, wewe ma liwasa
  14. T

    Taasisi ya Kiislamu ya Imamu Bukhary: Lowassa hafanani na Mtume Muhammad, Madabida awajibishwe

    Mmmh..mtume Muhamad hakuwahi fanya au kuamrisha jambo baya...angalia wazungu ambao ndo asili ya ukiristo wamehalalisha kuoana same sex
Back
Top Bottom