CCM bado Chafu: Mafisadi wa Escrow hawajakatwa

CCM bado Chafu: Mafisadi wa Escrow hawajakatwa

Siyo bado Chafu wameoza kwa Rushwa na mifumo yao mibovu.
Ingekuwa mimi ingefanyika France Revolution hapa kwetu
 
Wengi hawajadakwa mkuu. Wengine ni wa Richmond, iptl, dowans, buzwagi, sembe na nk
 
Unajua ukisoma maandiko ya watu kama kina faiza unaweza kulia. Wengi walishasema hapa kuwa ccm ni enterprise kila mtu anatakuwa kuwa na maslahi yake lakni sio wana mapenzi na chama chao. Hawajui hata wanachoamini.
 
pesa ya escrow ndo marafiki zake walioichangia kuinunua chadem
 
Maajabu ya chadema, DJ wa klabu ya usiku anasafisha dhambi na kumfanya "shetani kuwa Malaika".
Naona sasa wamekuchagulia mgombea muhumini wa kanoni na mpiga tumba mwenezi mpiga gita ccm naona wasanii awajaisha
 
Aaaahh ..mbona unajichanganya kwan lowasa ni haohao Richmond na Escow...mpo hapo..kiinimacho cha Chadema kumpokea mzee wa hatar sn
 
Watazungumzia tena.kwa ujasiri mkubws

Kama walipokea fedha za Lowassa bila aibu. Hawawezi kuwa na soni kupinga ufisadi Wakati wenyewe ni mafisadi wakubwa.
Jijini Arusha mbunge wa CHADEMA Godbless Lema amekwapua milioni 15 za jiji, lakini Wakati wa kampeni atapiga mayowe kama Kawaida yake na Mazuzu yatamuamini
 
Tunataka kuaminishwa na CCM kwamba waliobaki CCM ni watakatifu. Kwangu mimi hapana. Waliohusika na Ufisadi wa escrow tena kwa Ushahidi wa Miamala ya kibenki bado wanaendelea kudunda ndani ya CCM. Tena wengine wamepita kwenye kura za maoni za Ubunge, na wengine bado wanajifanya wapiga kampeni za Urais ili hali wao waliohisika moja kwa moja na Ufisadi huo tena kwa Ushahidi.
Kwa nn Mliwakata wengine.
Nyinyi bado ni mafisadi wa kuogopwa. CCM Jikateni wote mtuachie nchi yetu ikiwa salama.
Ungekuwa unazungumza haya wakati hatujaamua kuwakumbatia mafisadi baadhi yao ingekuwa na maana. Sasa kama dhana ya ufisadi tumeshaisafisha umeleta uzi huu kwa ajili gani sasa. Tumeambiwa kama hatuna ushahidi tu shut up! Kama tunao tupeleke mahakamani basi. Tumeshaamua sasa hivi hatu deal na mtu mmoja mmoja. Tuna deal na mfumo. Ingawa sasa bahati mbaya limfumo lenyewe ndio hivyo tena limeshaamia ukawa. Ni sheeeeda. Aibuuuuu. .... hata wewe Mbowe! , Lissu.! Mnyika! ! Lembeli! ? Bulaya! ? Marando! ? Safari! ?
 
Ungekuwa unazungumza haya wakati hatujaamua kuwakumbatia mafisadi baadhi yao ingekuwa na maana. Sasa kama dhana ya ufisadi tumeshaisafisha umeleta uzi huu kwa ajili gani sasa. Tumeambiwa kama hatuna ushahidi tu shut up! Kama tunao tupeleke mahakamani basi. Tumeshaamua sasa hivi hatu deal na mtu mmoja mmoja. Tuna deal na mfumo. Ingawa sasa bahati mbaya limfumo lenyewe ndio hivyo tena limeshaamia ukawa. Ni sheeeeda. Aibuuuuu. .... hata wewe Mbowe! , Lissu.! Mnyika! ! Lembeli! ? Bulaya! ? Marando! ? Safari! ?

Ushahidi Wa Escrow upo kwenye miamala ya Benki tena kwa majina. Sasa unataka ushahidi gani zaidi ya huo. Kama suala la kukatana kwa maana ya maadili basi CCM jikateni wote mtuachie Tanzania yetu.
 
Mbona mnaongea sana bila kumataja 'mwizi mkuu kabisa' wa fedha hizo za escraw? si anafahamika? Hata maagizo yake?
 
Ushahidi Wa Escrow upo kwenye miamala ya Benki tena kwa majina. Sasa unataka ushahidi gani zaidi ya huo. Kama suala la kukatana kwa maana ya maadili basi CCM jikateni wote mtuachie Tanzania yetu.

Kazi ya kusafisha mafisadi ni ya kina Lisu na ukawa yao kama madodoki hayatoshi agizeni China hwana hiyana ataleta tu. Mwambieni fisadi mkuu aite na wengine muendelee kuwasafisha CCM ni kazi tu na jembe litapoingia ikulu october 25 mkawaandalie makao Segelea maana hata hzyo madodoki yenu hayatatosha...waganga njaa leo mnathubutu hata kutaja neno ufisadi! Si ni mfumo au ndiyo uzuzu unawasumbua kiasi mara hii mmesahau
 
Viongozi wa CCM wanalindana haswa,hata wale wezi wa mali za umma na ushahidi upo,bado hawashitakiwi.KURA YETU NI KWA LOWASA NA WAGOMBEA WA UKAWA.
 
Ccm imeaoza

Bora CCM iliyooza kuliko CHADEMA inayotapika kisha hurudi kula matapishi! Mwanaume ni mmoja tu na ambaye hayupo tena Dr Slaa, waliobaki wote ni wasaka tonge! Ama ishi uone mengi Lisu alikuwa akiongea mpaka anatoka povu sasa hata kuku wa kizungu ni mjanja, atafanyaje wakati mashavu yanataka kumzidi uzito sijui atayabebaje maana safari hii bingo walilopiga si mchezo mtabaki ninyi kula kulala mnashabikia hata upuuzi usiyohitaji hata kwenda shule...mwanasheria unatisha jamaa yangu unaogelea na mafisadi katika mfumo mpya wa CHADEMA unaosema ibeni leteni tule! Hahahaha ni mfumo tu!!! Endelea kukamua kamanda Mbowe wajinga ndiyo waliwao
 
MAMBO 20 NILIYOJIFUNZA
KWENYE MKUTANO WA CCM
JANGWANI.
1. Yamoto Band wameshangiliUwa
zaidi kuliko Magufuli,
2. Wakati Mbowe amewakutanisha
Lowasa na Sumaye. Leo Jakaya
amewakutanisha Diamond na Ali
Kiba Jangwani,
3. CCM wanajua kuwa mikutano ya
UKAWA inapata mafuriko, kwa hiyo
nao walijitahidi wapate "mafuriko"
4. Watu wengi wameenda
kuwashangaa wasanii, sio
kumsikiliza Magufuli. Kumuona
Diamond bei ghali, leo
wamemuona Live bila kiingilio
wataacha kwenda?
5. Magufuli anajua lugha nyingi za
makabila kuliko anavyojua
matatizo ya wananchi,
6. Mkapa anahitaji maombi ya
kufunga maana anazeeka vibaya.
Amemuita Mpumbavu, Waziri
Mkuu aliyemteua mwenyewe na
kufanya nae kazi miaka 10,
7. Mwisho wa mikutano ya siasa ni
saa 12 kamili lakini CCM
wamezidisha dakika hadi 12:40.
Ikiwa wameshindwa kutekeleza
Sheria waliyoiweka mwenyewe,
watawezaje kutekeleza ahadi zao?
CCM hawapaswi kuaminiwa,
8. Kitendo cha Magufuli kukiri
serikali inanyanyasa Machinga na
mama Ntilie ni kukiri kuwa serikali
yake imechoka na inahitaji
kubadilishwa,
9. Magufuli amemvua nguo
Kikwete hadharani. Kusema
anashangaa meno ya tembo
yamefikaje uarabuni ni kusema
kuwa JK anashiriki biashara hiyo.
Ikiwa Magufuli amesema atazuia
biashara hiyo haramu, nini
kimemshinda JK kuzuia kwa sasa?
10. Magufuli anajua kuwa CCM
inakaribia kufa. Wakati akimalizia
hotuba yake ametoa mfano
ambao haukueleweka vizuri, lakini
fundisho lake ni kuwa
WATANZANIA MSIIUE CCM. Kumbe
anajua kuwa CCM itakufa,
11. Ccm wamewadharau sn
watanzania kwa kuwapandisha
malori ya kubebea vitunguu,
nyanya na viazi. Mtanzania
aliyepandishwa lori leo akiipigia
kura CCM atadhihirisha kuwa yeye
ni kiazi,
12. Mzee Warioba ameshindwa
kabisa kumnadi Magufuli kwa hoja.
Kwa namna alivyojieleza anaweza
kuzidiwa na kijana aliyemaliza
form four akapata division zero,
13. Mzee Mkapa ana matusi
"makali" kuliko wafanyakazi wa
bar,
14. Bila msaada wa malori na
kujazia bodaboda mafuta, uwanja
wa Jangwani leo ungekua mtupu,
15. Warioba anaipenda CCM zaidi
ya anavyoipenda Tanzania,
16. Rais Kikwete amekiri kuwa
Magufuli alikua chaguo lake, it
means hakuwa chaguo la
wanaCCM. Kwa lugha rahisi
Kikwete amedhihirisha kuwa
alienda Dodoma akiwa na majina
yake mfukoni kama ilivyodaiwa,
17. Kwa kuwa Polepole alikiri
Warioba ni "Role Model" wake, leo
tumemjua anayemtuma Polepole
kutukana UKAWA,
18. Jeshi la Polisi linatumika
kisiasa. Wameshindwa kuzuia
maandamano "haramu" ya CCM
na kuzuia mkutano ilipofika saa 12
kamili km sheria inavyotaka,
19. Miongoni mwa watu
wanaopaswa kuchunguzwa UKAWA
ikishika dola ni pamoja na Jaji
Joseph Warioba na Mzee Mkapa,
20. CCM haifai kuendelea kuwa
madarakani baada ya October 25
 
attachment.php
 
Back
Top Bottom