Acha umbeya hata kama cuf wamepewa jimbo mpja haikuhusu. Viongozi wote walikubaliana wewe unsumia nini? Wao wamerizika. Nia yetu no kuiondoa ccm madarakani
Lowasa kama Mtanzania ana haki ya msingi.ya kwenda kokote hapo bongo ilimradi havunji sheria . Hakuna mtu ana hati miliki na urahisi . Maguvuli ana haki na lowasa ana haki. Tuache umbeya na majungu havina tija kwa.taifa letu.
Zitto tunaomba sera ya chama na utawafanyia nini wananchi wako wa kigoma na sipoteze muda wa kufa na watu unachuki binsfsi na vinyoko. Wewe ni msomi mzuri na usiwe mtu wa chuki.
Jamani hawa watu ni wasanii, wema kama wema anajua kabisa hawezi kusimama na Tundu lizu popote kisiasa hata kisheria . Anachotaka Wema hivi sasa labda asikike kwenye vyombo vya habari na lingine anatafuta ulaji, na huko ccm ndio kuna ulaji ukawa hakuna kitu. Mwacheni akauze sura
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.