Mwigulu: Wanaohama CCM wanasaka madaraka ili kulipa madeni

Mwigulu: Wanaohama CCM wanasaka madaraka ili kulipa madeni

Atuambie kwanza zile alizohonga wapiga kula wake katoa wapi,, ccm wanatapatapatu hali mbaya inchi inaenda ukawa
 
Mbona kapi mishipa imemtoks? Yeye si aliusaka urais baada ya kupingwa chini ndio maana povu linamtoka. Hafai hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji
 
Naibu waziri wa fedha na mbunge wa iramba magharibi Mhe. Mwingulu L Chemba amesema wanaohama ccm watu wenye uchu wa madaraka na wanafanya kila kitu ili kupata madaraka maana wanachofanya sio kutaka kuwatumikia watanzania bali wanataka kurudisha fedha walizo tumia kusaka madaraka maana wamewapa hadi watoto wa shule za msingi.Amesema hayo kwenye mkutano wa hadhara mjini mtwara wakati akiwa na mgombea urais ccm mhe JOhn Pombe Magufuri wakati akisaka wadhamani na amefanikiwa kupata wadhamini 250.
Chanzo ITV habari saa 20:00 10th august 2015

Huyu naye hana aibu? Si alikamatwa kwa rushwa kule iramba? Watu wengine bwana? Ovyo!!!!
 
Mwiguru hana uchu wa madaraka pamoja kugawa rushwa na kuwatumia polis kuzuia upinzani,lakini mtu kutoka ccm na kuja upinzani anania ya kuwatumikia wananchi anaita uroho wa madaraka. Mwiguru ni pimbi kabisa.
 
Jana nikitoka Mbeya kuja DAR niliona kwenye jabali pameandikwa 2015 Rais Mwingulu.....hongera.
 
Duh Kapi Mwigulu Mchembaaaaaaaa, wewe si ulinyakwa na takukuru? Kwani huo si uroho wa madaraka? Wewe Kapi Mwigulu weweeeee acha hizo.
 
Asidhan tumesahau kifo cha mbwambo na bomu la soweto! Eddo akitinga ikulu tu ile kesi inafanyiwa restoration na kichwa chake kinatuhusu!mjinga na muuaji mkubwa kabisa
Kwanza ana kesi na Takukuru ya matumizi mabaya ya fedha na kutoa rushwa, hizo hela alizokuwa anagawa kama karanga atazirudishaje.
 
Mwigulu ni disgrace to this nation..huyu aliyekuwa anazini na wake za wAtu wakati wa kampeni za uchaguzi? CCM ni chama cha kishenzi huko Magu sijui leo matokeo ya udiwani yametangaziwa kituo cha polisi maana rushwa imezidi...mwaka huu mtanyoooka tu
 
Si afadhali hao wameamua kutafuta madaraka kwa njia za amani, kuliko yeye ambaye amekuwa akiwahujumu wenzie kwenye mchakato wa kura za maoni ikiwamo kuhusishwa na rushwa.
 
Mwigulu amenena vema kuwa kumbe hata ccm huwa wanaposhinda kazi inayobaki nikulipa madeni, jinga kweli halijui kitu anachoongea lilihojiwa na Takukuru kwenye kura za maoni alafu linaongea upuuuuzi hapa
 
Mwigulu amesahau kuwa yeye ni kapi ndani ya CCM. Akamuulize kinana.
 
Huo ni mtazamo wake kama Politician. Ila kiukweli Mwigulu Nchemba ni mtu aliyekamilika kuwa kiongozi. Bahati mbaya tu hakupita kwenye mchakato lakini ukitaka kusoma IQ ya mtu msikilize namna anavyoongea hasa anapoelezea hisia zake na imani yake .
Huyu jamaa labda tu siasa zimbadilishe but he has the quality of good leader and he deserve to be trusted. Nilimsoma zaidi wakati wa harakati zake zakuwania uraisi. Anavyoongea unaona kabisa kuwa anamaanisha na ana msukumo wa kweli hasa uwajibikaji na matatizo ya jamii. Unaona kabisa hajalishwa maneno na mtu.
Kama hatabadilika basi nina imani mdogo mdogo huko mbeleni watu watamsoma vizuri.
Bila shaka hata nafasi ya waziri mkuu inamfaa sana.

Mimi sina chama na huu ni mtazamo wangu tu
 
Manyumbu chochote ambacho against wao povu kweli kweli mwigulu akasema ukweli lazima povu liwatoke
 
Maneno yake yanalenga kutetea nafasi yake endapo atakuwa MP.Na kwa bahati mbaya uwaziri umekwishapitiwa na Floods...
 
Aje kufuta jina lake la vyeti ktk ukuta wa shule ya msingi NAURA hapa ARUSHA.

ROMA hakukosea kuimba kuwa mpiga chata pia anaweza kwenda ikulu na kupiga chater
 
Mwigulu ana uwezo mdogo sana wa kufikiri, anachojuwa ni mipasho, kebei,fitina...hana tofauti na Nepi
 
Naibu waziri wa fedha na mbunge wa iramba magharibi Mhe. Mwingulu L Chemba amesema wanaohama ccm watu wenye uchu wa madaraka na wanafanya kila kitu ili kupata madaraka maana wanachofanya sio kutaka kuwatumikia watanzania bali wanataka kurudisha fedha walizo tumia kusaka madaraka maana wamewapa hadi watoto wa shule za msingi.Amesema hayo kwenye mkutano wa hadhara mjini mtwara wakati akiwa na mgombea urais ccm mhe JOhn Pombe Magufuri wakati akisaka wadhamani na amefanikiwa kupata wadhamini 250.
Chanzo ITV habari saa 20:00 10th august 2015

Yeye pia ameshikwa hofu jinsi atakavyolipa madeni yake maana nchi ndo hiyooooo inatwaliwa na UKAWA,uwaziri atausikia Iramba,na huko nako Chadema na wana-CCM wenzie wamembana hawezi hata kuhema
 
Back
Top Bottom