Jamani wanandugu mmemsikia kova akisema eti Lowasa aende akaanzie maandamano kwenye ofisi za CDM...sasa swali langu kwenu wana JF nisaidieni, ni lini kova amevunja muungano wa UKAWA? Maana kama hajauvunja mgombea anayohaki ya kuingia kwenye tawi lolote la vyama vyake.. Vinginevyo kova atuambie nani ni mgombea wa CUF.