Recent content by Tumain1976

  1. T

    JamiiForums Tanzania Project maalumu kuinua uchumi wa watanzania,Weka wazo lako la mradi hapa na ueleze umekwama wapi utafutiwe co-investor

    Nina kampuni ya ujenzi nahitaji mwekezaji ambae atafinance working capital na Mitambo ya ujenzi kama yupo tukutane pm Mkuu.
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Kama hujapata ambaye ni sahihi karibu.
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu anataka nimpe mimba

    Hiyo ngumu
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Si kanifanyia fujo! Sasa naenda kumpa mumewe mambo

    Mmmh
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume

    Karibu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Naomba hiyo plan mkuu nione kama itafaa maeneo ya moshi.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Tumia mbolea ya vegimax ambayo ni foliar vertilizer ambayo ni vizuri kuchanganya na dudumecting kuzuia wadudu wanaoharibu matunda machanga.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Ndiyo nimepata faida 200/100
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Mkuu niliuza kwa madalali kwa kilo sh 400/, na mchumo wa kwanza nimepata tani10 fresh na reject tani8 ambazo tulielewana kwa furushi au jumla. Ila kimsingi ,soko la uhakika bado ni changamoto ,maana ubabaishaji wa madalali bado ni mwingi sana. Nafikiri tunahitaji kuunganisha nguvu ili tuweze...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Mkuu asante ila jioni ya leo kuna dalali mmoja kanitumia sms kwamba yeye ana mteja ila bei ni tsh 350/= kwa kilo ,naomba ushauri kwa uzoefu wako mkuu
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Mkuu ngoja nianze mchakato wa mnunuzi kutoka kenya kama ulivyoshauri ila kunisaidia, hebu ongea na huyo uliefanya nae biashara unijuze mkuu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Wadau habar, nina tikitimaji ambazo zitakuwa tayar kuvumnwa kuanzia jumamosi tarehe 29/07/2017 naomba wadau wa masoko tafadhali. Mzigo upo moshi, na upo saf ni wastani ws kg 7 kwa tikiti moja .mawasiliano 0653250888 karbuni sana .
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Mkuu nahitaji kufuga samaki maeneo ya moshi ,je vifaranga napataje kwa ukaribu ukiacha wanaopatikana mwanza na dar?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Naomba nijuze namna ya kupata hicho kijitabu
Back
Top Bottom