Recent content by Tulizo

  1. Tulizo

    Natafuta mtu wa kutengeneza Sign Board

    Je kuna mtu anaweza kutengeneza Sign board ya kutangaza biashara. Inbox please.
  2. Tulizo

    Wapi naweza pata vifaranga vya kuku wa kienyeji?

    Natafuta vifaranga vya kuku wa kienyeji. Please inbox kama unavyo.
  3. Tulizo

    Natafuta Professional Photographer (One time Job)

    Eneo ni Kinondoni Dar es salaam, kama uko interested nitafute Inbox..
  4. Tulizo

    Natafuta Professional Photographer (One time Job)

    Natafuta professional photographer kwa kazi ya mara moja. Kazi yenyewe ni kupiga picha bidhaa kwa online marketing. Nitafute inbox kama uko interested. Natafuta professional photographer kwa kazi ya mara moja. Kazi yenyewe ni kupiga picha bidhaa kwa online marketing. Nitafute inbox kama uko...
  5. Tulizo

    Natafuta Professional Photographer (One time Job)

    Natafuta professional photographer kwa kazi ya mara moja. Kazi yenyewe ni kupiga picha bidhaa kwa online marketing. Nitafute inbox kama uko interested.
  6. Tulizo

    Kuhusu Korea Kaskazini: Facts zitakazokuacha Mdomo wazi

    Poa Mkuu.. However, you can read between my lines. You need to be there i.e. in North Korea. It is a very secretive country + people are so intelligent labda kuliko unavyoambiwa na hao "investigative journalists"
  7. Tulizo

    Kuhusu Korea Kaskazini: Facts zitakazokuacha Mdomo wazi

    Kiongozi.. Kuna vitu hapo kwenye list yako ni vya kweli (vichache) na kuna vitu ni propaganda za Marekani na vibaraka wake. Fact: Kujua what is going on in North Korea unatakiwa uwe umeishi kule. Yaani umeishi kule kama resident na sio kutembelea siku, wiki au kusoma news kupitia vyombo vya...
  8. Tulizo

    Ni swali gani ambalo hupendi kuulizwa?

    4. Are you Nigerian?
  9. Tulizo

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Mkuu umeandika vizuri .. asante sana.. Ila ningependa kuongezea kitu kimoja. Sio mara zote unatakiwa uendeshe pole pole ukiwa katika barabara kuu. Kuendesha pole pole kunaweza kukusababishia ajali mbaya sana. Fuata alama za bara bara barani na unatakiwa kukimbia kwa kasi ambayo unaweza...
  10. Tulizo

    Eneo linauzwa Kimara, Temboni

    Kama nimeelewa vizuri ramani hilo shamba litakuwa la kwake kutokana na Id yake. Mzee wao alikuwa mmoja wa wazee wa zamani sana eneo hiyo. Nadhani aliitwa Mzee moja moja kutokana na kumiliki gari lenye namba TZ 11. Wadau wenye hela changamkia ofa hiyooo..!
  11. Tulizo

    Deal Nataka Hilux pick up ya 1997-99

    Ninayo.. Ni inbox Ila nasimama kwa 3 million sio chini ya hapo.
  12. Tulizo

    Nataka kuagiza gari na AUTOREC

    One of the best..Gari zao ni reconditioned kuliko hao wengine wanaleta Kama zilivyotumiwa.. Bei yao iko juu kuliko wengine lakini magari yako Poa
  13. Tulizo

    Do we need to add anything ?

Back
Top Bottom