Recent content by tulio

  1. T

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Hili jambo la maana sana jamaa Hana point Wala hoja
  2. T

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Ko huenda kwamawazo yangu kunafikra inapenyezwa kuonyesha kwamba Adam sio binadamu wa mwanzo na hao majini watataka kuja na hoja kwamba ndio maana waligoma kumsujudia Tuwe makini Kuna mengi yajayoooo. Tuwe macho nakutumia fikra zetu kutafakari hizo fikra na ajenda atakazo kuja nazo.
  3. T

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Ndouone kwamba jamaa ni muongo Lakini kingine wazee tujue tu ntakuwekea akilini ni kwamba miongoni mwa watu waliomuonea wivu Adam baada ya kuumbwa ni ibilisi aliyelaaniwa ambaye anaasili ya ujini ko wekeni akilini majini wanatuonea wivu binadamu kwasababu sisi ndotumepewa ukhalifa kwenye Ardhi
  4. T

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Leta elimu acha janja janja Kwakifupi huna elimu case closed ukiwa nahoja na majibu tutakuuliza Tena maswali ila for now huna hoja mjomba.
  5. T

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Na bold hapo uliposema Arsis aanze kuelimisha na sio kubishana lakin kuliwekea mkazo Hilo akija kutuelimisha aje na ushahidi wake ulioshiba sio porojo na siasa
  6. T

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Mtume amefasiri hadithi nakusema Adam ndio binadamu wamwanzo Sema kama unapinga Hilo na wakati dini yote imefasiriwa kupitia hadithi Kila kitu kimefundishwa kupitia hadithi za mtume Wewe unaswali umejifunzia wap kuswali? Quran imesema watu wasimamishe swala je imekufundisha namna ya kuswali...
  7. T

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Elimu haipo hvo ww unapotosha jibu hata hoja Moja sio kuleta porojo
  8. T

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Huyo Jamaa ni Hana elimu kwakifupi anataka kuwapoteza watu angejaribu kujibu hoja hata Moja ningeona Kuna mtu lakin wapi Kila akiulizwa swali anarukaruka tu
  9. T

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Kweli kaka huyu jamaa elimu yake ni ndogo sana janja janja Kila swali analoulizwa hajibu chochote anakazi yakusema Hilo jambo la baadae mara Hilo ntafundisha ckunyngn au atakazania Adam umemtoa wap au Hawa umemtoa wap? Yy Hana ushahidi anaouleta anachokijua nikupotosha watu tu kwakifupi? Hapa...
  10. T

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Husomi hadithi za mtume ww Ww elimu yako ni ndogo
  11. T

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Kuhusu Hawa Allah ameelezea katika surat baqarah Aya ya 35 { وَقُلۡنَا يَٰٓـَٔادَمُ ٱسۡكُنۡ أَنتَ وَزَوۡجُكَ ٱلۡجَنَّةَ وَكُلَا مِنۡهَا رَغَدًا حَيۡثُ شِئۡتُمَا وَلَا تَقۡرَبَا هَٰذِهِ ٱلشَّجَرَةَ فَتَكُونَا مِنَ ٱلظَّٰلِمِينَ } [Surah Al-Baqarah: 35] Ali Muhsin Al-Barwani: Na tulisema: Ewe...
  12. T

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Narudi kuhusu Hawaaaaaa Naleta ushahidi wa mwisho haf nalala na ww ulete Shahid zako usipoleta ushahidi nitaleta hypothesisi yangu juu ya ajenda yako.
  13. T

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Hadithi kuonyesha Adam ndobinadamu wakwanza kuumbwa na ndio baba wa binadamu wote na ww leta ushahidi wako kuwa Adam sio binadamu wakwanza kuumbwa
  14. T

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Allah amekufundisha kuswali,,,,, kwamba adhuhuri kuswali rakaa 4 na magharib uswali rakaa 3 ,,,,Quran imefundisha kwamba swala zingine imamu aswalishe kimya kimya na nyingine asome kwasauti embu tuambie umejifunzia wap hayo na ukienda kuswali unayafata mtume kaitafsiri Quran yote uache hyo janja...
Back
Top Bottom