Recent content by tukunyemamzee

  1. tukunyemamzee

    JamiiForums Tanzania Ukomo wa Mifuko Mitano Tanzania Bara ni Machi, 2018; PSPF na NSSF pekee kubaki

    Fact mazee. Bond ndo kila kitu. Siyo unakuwa na Net assets figure ambayo 60% yake ni loan zisizolipika na 20% fair value gain on investment properties. Unajikuta balance sheet yako yote imejaa figures za kusadikika tu
  2. tukunyemamzee

    JamiiForums Tanzania Mlioajiriwa Mfuko gani wa mafao ambao ni mzuri Zaidi?

    Kama uko private sector jiunge NSSF ila kama uko public sector bora ujiunge LAPF
  3. tukunyemamzee

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Oktoba bado tu?

    Acheni masihara kwangu mbona bado?
  4. tukunyemamzee

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Dereva wa Lissu akirudi Tanzania anaweza akauawa

    Msitufanye mbumbumbu
  5. tukunyemamzee

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa leo wa CHADEMA kwa waandishi wa habari waacha maswali mengi

    Hivi mnalipwa kiasi gani nyie wanywa maji ya kijani?
  6. tukunyemamzee

    JamiiForums Tanzania Nani anagharamia matumizi ya Lema, Msigwa na Mbowe huko Nairobi?

    Utakuwa bashite wewe
  7. tukunyemamzee

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Warwick alikosoma T.Lissu watuma salamu za pole kupitia Prof.Shivji

    Kwa hiyo ndo maana mkawaweka ndani madiwani waliokuwa wanaorganize mchango ili mseme jimboni kwake pako kimya. Hongereni nyie mtaishi milele Sent by Tukunyemamzee
  8. tukunyemamzee

    JamiiForums Tanzania Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

    Amina Sent by Tukunyemamzee
  9. tukunyemamzee

    JamiiForums Tanzania Mitandao na vyombo vya habari vya nje vinaandika 'mpinzani mkubwa wa Magufuli apigwa risasi'

    Akili yako ukubwa wake haijai kisoda Sent by Tukunyemamzee
  10. tukunyemamzee

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Massage Parlour za Dodoma ni rahisi mno kuacha familia

    Huyu mleta uzi sidhani kama anamaanisha dodoma hii hii. Labda kwenye mahoteli labda maana kitaa sidhani kama zipo Sent by Tukunyemamzee
  11. tukunyemamzee

    JamiiForums Tanzania Vipi update za mazungumzo na Accacia

    PAMBANA NA HALI YAKO Sent by Tukunyemamzee
  12. tukunyemamzee

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Ukitaka uendelee kula mtetee kwa nguvu zote aliyekupa ulaji Sent by Tukunyemamzee
  13. tukunyemamzee

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Sasa kama barabara ilijengwa 2000-2003 nani alivunja mkataba hiyo 2003? Sent by Tukunyemamzee
  14. tukunyemamzee

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa sielewi CUF ni mali ya nani, Wananchi, Lipumba au Maalim Seif

    Hiyo ndo hasa nia ya wilio nyuma ya leprofeseli Sent by Tukunyemamzee
  15. tukunyemamzee

    JamiiForums Tanzania Asiyesikia la mkuu! IMF walituonya, sasa uchumi umeshuka kwa 2% kwenye robo ya kwanza

    Huna tofauti na yule alokuwa msemaji wa Saddam Hussein kipindi kile cha vita. Labda kwa kuwa uko kwenye wanaoneemeka Sent by Tukunyemamzee
Back
Top Bottom