Hadi sasa sielewi CUF ni mali ya nani, Wananchi, Lipumba au Maalim Seif

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
Enzi za siasa miaka ya 1995,2000,2005,2010 CUF ilijulikana kama Chama cha wananchi CUF...

Wimbo maarufu

"Oohooohooo Chama!!! Chama gani? Chama cha wananchi CUF...."

Sasa makosa ya kiufundi yaliyowagharimu wananchi hao waliokuwa wanajinasibu kama ndio wamiliki wa Chama kwa kushindwa kumfukuza mwenyekiti alipoamua kuwasaliti katikati ya mapambano na kujifukuza mwenyewe leo yametufikisha hapa.

Sasa nauliza kwa Hatua tuliyofikia CUF ni chama cha..

1:WANANCHI?
2:LIPUMBA?
3:MAALIM?

Somo Kubwa lamaisha ninalotokanalo ktika hitilafu hii CUF ni mhenga Jiniasi na Great Thinker
aliyesema "Usipoziba Ufa Utajenga UKUTA"

Lakini Pia namuunga mkono Muhenga wa Kiitaliano PARETO aliyesema "Asilimia 80% ya matatizo Husababishwa na 20% ya matatizo yaliyopuuziwa Mwanzo"
 
Mkuu ni vigumu kueleweka kwa kuwa wenyewe hawajielewi, wewe wa pembeni utawaelewa je?

usitembee juu ya ardhi kwa majivuno
 
Enzi za siasa miaka ya 1995,2000,2005,2010 CUF ilijulikana kama Chama cha wananchi CUF...

Wimbo maarufu

"Oohooohooo Chama!!! Chama gani? Chama cha wananchi CUF...."

Sasa makosa ya kiufundi yaliyowagharimu wananchi hao waliokuwa wanajinasibu kama ndio wamiliki wa Chama kwa kushindwa kumfukuza mwenyekiti alipoamua kuwasaliti katikati ya mapambano na kujifukuza mwenyewe leo yametufikisha hapa.

Sasa nauliza kwa Hatua tuliyofikia CUF ni chama cha..

1:WANANCHI?
2:LIPUMBA?
3:MAALIM?

Somo Kubwa lamaisha ninalotokanalo ktika hitilafu hii CUF ni mhenga Jiniasi na Great Thinker
aliyesema "Usipoziba Ufa Utajenga UKUTA"

Lakini Pia namuunga mkono Muhenga wa Kiitaliano PARETO aliyesema "Asilimia 80% ya matatizo Husababishwa na 20% ya matatizo yaliyopuuziwa Mwanzo"
Ushasema hapo juu ni chama cha wananchi
Ila kilicho chini ya uongozi makini wa Professor of Economics, Al haj Ibrahim Haruna Lipumba
 
CUF inahama rasmi kutoka visiwani na kua mikononi mwa wana Tabora wawili
Upo vizuri Alhaji-profesa wa siasa za ukigeugeu na dada yako
Je Lipumba anakubalika Tabora?Atazoa wabunge wote na madiwani Tabora au ataambulia patupu 2020?
 
Sasa hivi cuf inamilikiwa na ccm chini ya uangalizi wa lipumba kwa niaba ya maagizo toka juu
 
Sefu amekosa rasmi ruzuku,baada ya hukumu tu jiwe limeingia kwenye ya akaunti ya cuf
Mtatiro simsikii kabisa siku hizi naona wamemziba domo lake baada ya kujifanya aanamuweza Professor na kuwaambia wenzake wampuuze Lipumba kumbe Lipumba anasajili bodi ya wadhamani,anafukuza wakurugenzi anabadili watia sahihi kwenye akaunti za chama.Maalim yupo hoi
 
Hivi kwanini Maalim asiiache hiyo cuf, atakua dhaifu? Au ndio hapo anategemea mkono uende kinywani?
 
Enzi za siasa miaka ya 1995,2000,2005,2010 CUF ilijulikana kama Chama cha wananchi CUF...

Wimbo maarufu

"Oohooohooo Chama!!! Chama gani? Chama cha wananchi CUF...."

Sasa makosa ya kiufundi yaliyowagharimu wananchi hao waliokuwa wanajinasibu kama ndio wamiliki wa Chama kwa kushindwa kumfukuza mwenyekiti alipoamua kuwasaliti katikati ya mapambano na kujifukuza mwenyewe leo yametufikisha hapa.

Sasa nauliza kwa Hatua tuliyofikia CUF ni chama cha..

1:WANANCHI?
2:LIPUMBA?
3:MAALIM?

Somo Kubwa lamaisha ninalotokanalo ktika hitilafu hii CUF ni mhenga Jiniasi na Great Thinker
aliyesema "Usipoziba Ufa Utajenga UKUTA"

Lakini Pia namuunga mkono Muhenga wa Kiitaliano PARETO aliyesema "Asilimia 80% ya matatizo Husababishwa na 20% ya matatizo yaliyopuuziwa Mwanzo"
CITIZENS ndio wanaoendesha nchi na wao ndio wanaoamua nani ni nani na nani awe wapi, subjects must obey, that's it, full stop.
 
Hivi kwanini Maalim asiiache hiyo cuf, atakua dhaifu? Au ndio hapo anategemea mkono uende kinywani?
Na itakuwa karata nzuri kwa sababu waajiri wa lipumba hawatamlipa tena kwa sababu cuf itakuwa sio tishio tena
 
Ni chama cha Lipumba kwa sasa. Nawashauri akina maalim Seif wajiunge na chama kingine kidogo huko visiwani badala ya kupambana na mtu mwenye support kubwa ya mfumo
 
ngoja tuone mwisho utakuwaje...
wengine tunashindwa hata kubet...
 
Back
Top Bottom