Recent content by TuKuLu_

  1. TuKuLu_

    JamiiForums Tanzania KWELI Kati ya picha hizi mbili, Moja imetumika kutengeneza picha nyingine kwa kutumia Akili Unde

    Picha A: ni akili unde: kwasababu Ukiangalia hiyo gari jeupe apo utaona upande wa nyuma tairi na body imekaa ulalo. Na pia ina quality kubwa so hiyo pia ni sababu ni akili unde. AI
  2. TuKuLu_

    JamiiForums Tanzania Stori gani uliwahi kusimuliwa kuhusu mchezaji wa mpira kumbe 'kamba'?

    Nilisikia kwamba Ronaldo akipiga shuti lazima ichane nyavu na pia akipiga shuti likakosa goli lazima shabiki 1 wa nyuma ya goli pinzani atakae patwa na mpira lazima avunjwe vidole au mkono kabisa
  3. TuKuLu_

    JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani kujua ukweli wa taarifa unazokutana nazo mtandaoni?

    Mimi kiukweli naendaga kwenye account ya Milard Ayo.. ndo niangalie kama amepost ndo niamini. Ila kwa sikuhiz nimeona sehemu sahihi ni JF.Whatsapp channel Kwasababu ipo karibu na mahala ninapopenda kuchati. Mahala hapo ni WhatsApp
  4. TuKuLu_

    JamiiForums Tanzania Ni kampuni gani ya redio za music mnene inavunja records?

    Shingp iyo flip 5
  5. TuKuLu_

    JamiiForums Tanzania Ni kampuni gani ya redio za music mnene inavunja records?

    Yes me enyw natumia Harmnan lakin ni JBL GO ESSENTIAL
  6. TuKuLu_

    JamiiForums Tanzania Ni kampuni gani ya redio za music mnene inavunja records?

    JBL Go Essential. But ni Harman
  7. TuKuLu_

    JamiiForums Tanzania Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

    Bitcoin inafanyaje kazi,? Na ni nzuri kutumia? Na kama ni nzuri kutumia,! Nitaipataje ili niitumie wadau wangu wa nguvu
  8. TuKuLu_

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Msimbo (Code) wa rangi kwenye kasha la dawa za Meno huonesha aina za kemikali zilizotumika kutengeneza dawa hiyo

    Sio uzushi bana hiyo ni kweli na siyo uwongoooo 😏😏😏😏😏😏
  9. TuKuLu_

    JamiiForums Tanzania Ni kampuni gani ya redio za music mnene inavunja records?

    Ni kampuni gani ya redio za music mnene inavunja records? Kwangu mimi ni JBL😊👍
Back
Top Bottom