Recent content by Tugepalu Jr

  1. Tugepalu Jr

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa waalimu na uchakavu wa miundombinu katika taasisi zetu za elimu

    Suala la ubovu na uchakavu wa miundombinu katika taasisi za kielimu zimekuwa kilio kikubwa kwa Watanzania wengi Tangu kupatikana kwa uhuru mwaka 1961 mpaka kufikia sasa, hasa katika maeneo ya vijijini. Kwa asilimia zaidi ya 60% mpaka 70% maeneo ya vijijini yanakubwa na uhaba wa madarasa ya...
  2. Tugepalu Jr

    JamiiForums Tanzania Ukimpata rafiki anayejua kuthamini uwepo wako katika maisha yake, hakikisha kuwa unamshikilia vyema

    Katika maisha, tunakutana na Watu wapya wenye Tabia na sifa mbalimbali ambazo kwa namna moja ama nyingine huweza kuleta mabadiliko katika maisha yetu, aidha katika hali chanya au hali hasi. Hivyo basi tunapaswa kuwa makini na wadadisi zaidi kabla ya kuamua ni yupi anaweza kuwa Rafiki kwako...
  3. Tugepalu Jr

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi wa kutengeneza ubuyu

    [emoji1374][emoji1374][emoji1374]
  4. Tugepalu Jr

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi wa kutengeneza ubuyu

    Shukran
  5. Tugepalu Jr

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi wa kutengeneza ubuyu

    Kwa yeyote mwenye ujuzi wa kupika ubuyu naomba anipatie experience kidogo pia na kuhusu vitu gani muhimu vinavyohitajika katika uandaaji wake.
  6. Tugepalu Jr

    JamiiForums Tanzania Ukimpata Rafiki anayejua kuthamini uwepo wako katika maisha yake, hakikisha unamshikilia vyema

    Katika maisha, tunakutana na Watu wapya wenye Tabia na sifa mbalimbali ambazo kwa namna moja ama nyingine huweza kuleta mabadiliko katika maisha yetu, aidha katika hali chanya au hali hasi. Hivyo basi tunapaswa kuwa makini na wadadisi zaidi kabla ya kuamua ni yupi anaweza kuwa Rafiki kwako...
  7. Tugepalu Jr

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uhaba wa Walimu na uchakavu wa miundombinu katika Tasisi zetu za Elimu

    Yaani hadi inakatisha tamaa ukiyaona mazingira yenyewe.
  8. Tugepalu Jr

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uhaba wa Walimu na uchakavu wa miundombinu katika Tasisi zetu za Elimu

    Sasa hapo ni Nafasi ya Serikali kuona ni hatua gani wa nazichukia ili kutatua kero hizo.
  9. Tugepalu Jr

    JamiiForums Tanzania Jengo la Ikulu, Chamwino Dodoma

    Tanzania Nchi Yangu
Back
Top Bottom