Umeitembea Afrika wew au unalopoka tu kufurahisha Genge. Kwa Afrika hii nchi zenye quality ya maisha ukiondoa South Africa🇿🇦 Morocco🇲🇦 Botswana🇧🇼 na Egypt🇪🇬. Hizo nchi zingine zilizobaki zote ni chai tuu pamoja na Bongo yako🇹🇿 kuku wewe☹️☹️.
Jamani mtu yoyote akiandaa UZi wa kiswahili humu ajiandae kupigwa mabom ya Urusi. Shida wabongo nusu ya vijana ya humu JF ni watoto wa madiwani na makatibu kata.
Nakujaza Tena mkuu Zambia sio Malls Kuna SHOPRITES za kufa mtu mi nilipita kwaka Jana 2022 Dec 3. Na hayo ndo maduka yao sio ya hapa Dar kwa kina mangi nipe maji ya Hill😅
Mimi Sina mengi lakin nakumbuka mwaka 2018 kwenye miezi ya mwishoni nilikuwa nasafiri kwenda South Africa nilipitia Malawi na Mozambique. Kwenye bus kulikuwa na M, Burundi mmoja na aliniambia Bujumbura inaingia mala 10 kwa Dar es Salaam.
Hivi bro naomba nikuluze kitu, mim nna passport yangu ambayo mwaka Jana nilisafiri kwenda SA nilipitia Zambia nikaigonga fleshi tu lakini wkt wa kurudi pale beit bridge boda ya South Africa na Zimbabwe upande wa SA wakanigongea muhuri wa kunizuia nisirudi Ile nchi ndani ya miaka 5 kwa kosa la ku...
Na katika hiyo miji uliyoitaja Pretoria🇿🇦 ndo mji salama zaidi kuliko hiyo miji mingine. Mi nipo hapa Pretoria nafanya kazi katika Berbarshop ya waganda na nashukuru mungu maisha yanaenda.
Mimi mwenyewe Traveller and I've ever traveled Over five African countries including South Africa. Nimekaa sana Joburg na Pretoria 🇿🇦 Pia Nimeishi Mozambique Maputo 🇲🇿. Ila Tanzania 🇹🇿 it's a beautiful country kwakweli tumekosa uwongozi mzuri tu. Lakini Hizi nchi Kama Botswana na jirani yake...
Wew usiwe boya🤔 huyu jamaa ajamtisha mtu hapa Bali katoa huwalisia wa Maisha ya SA yalivyo. Ukweli ni kwamba hiyo nchi mim nimekaa sana na nimeenda mala tatu nimerudi mwaka Jana Tarehe5 Dec-2022. Asaivi Hali ni ngumu sana. Walikuwa wanakuja mahom boy wapya kila siku wengine hata mwezi hauwishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.