Recent content by tsepo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Upendo kwa mama; Diamond anamjengea mama yake nyumba ya TZS 260M

    pouwa napotezea hahahaha
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yupo kwenye wakati mgumu sana namuonea huruma ila ndo hivyo sina jinsi

    Huyo ni shetani kaona umeshinda majaribu yote sasa anataka kupitia wa huyo kwa sababu anajua ndo unayempenda., dada yangu utajuta tena mjuto ambao hautausahau maishani,. Anyway ni maamuzi yako,.tena toka haraka nipe mm huyo ticha.,
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    kifupi ww ni mshamba,mshenzi,na huna huruma,zaidi zaidi una upeo mfupi wa ufikiri,mm niko km ww lkn siwezi kuacha kumpenda kk wa watu eti kisa hana elimu,.huyo ambaye hana elimu ana ndugu wangapi ambao walihitaji msaada km anaokupa ww?? Kama kazi zake hazieleweke kaa chini piga magoti muombe...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Jack Patrick Apandishwa Kizimbani

    Huwa wanamuita chizi,. Ss sidhani km wanakoseaga,. Neee makomi.,
  5. T

    JamiiForums Tanzania Upendo kwa mama; Diamond anamjengea mama yake nyumba ya TZS 260M

    Tuwekee picha tuone!!! Kwa mana hata aknunua t,shirt anaziweka bbm,itakuja kuwa nyumba., acheni flag za kishamba,.
  6. T

    JamiiForums Tanzania wasanii wetu washamba

    Kumbe umeona eenh!! Nilidhani peke yng,.hata huyo mtangazaji mwenyewe hajui,cos ilibidi yy ndoawe serious na interview,bt utadhani wapo ghetto wanapiga story.,shame on them.fusekiiiii.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Sugu aibuka upya, atangaza kuendelea bifu na Ruge, Clouds

    unajua kila binadamu hajakamilika,.sugu kazoea kushangiliwa sasa anajua kila afanyalo watu watamshangilia,huo ni upumbavu na akili za kitoto,mara ya kwanza ulivypatana na ruge uliwa,diss wenzako vibaya(vinega) ss leo umekuja na upuuzi wako hapa,.nendeni mkakae na vinega wenzio mkaendelee kuimba...
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 'NAKUPENDA MPENZI' yaleta tafrani kwenye ndoa! Kuwa makini...

    Hahahahahha hii kiboko.
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President Barack Obama's message to Kenyans on the March 2013 elections.

    Hahahahahha
  10. T

    JamiiForums Tanzania hodiiiiifor

    Jmn hodiiiii mbeleeeee
  11. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye sifa hizi (naomba tuweke utani pembeni katika mambo muhimu ya maisha)

    Nenda church nadhani wapo.
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bi dada... Utafanya nini? Mmeo anatembea na binti wa Salon...!

    Kifupi ntarudi nyumbani na kumwambia what happened,then ntamwambia awakanye wanawake zake,coz sina wa kugombana nae kwasababu wkt yy anafanya yk na mm nafanya yng.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Zembwela acha hizo

    hata mm kwa kweli.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Zembwela acha hizo

    Makubwa haya
Back
Top Bottom