Sugu aibuka upya, atangaza kuendelea bifu na Ruge, Clouds

i had a gut feeling from the fu**ing start!!beef aren't totally squashed,always bubbling under..jigga and nas squashed their beef before tv cameras but them dudes diss one another in the hood when the other ain't around..
this ain't about music at all,this beef is on another level,it is a political war between ccm and chadema,ruge and sugu repping their sides respectively..there will never be no peace,..i wanna kill right now,wa,wanna kill right now.
 
i had a gut feeling from the fu**ing start!!beef are squashed,always bubbling under..jigga and nas squashed their beef before tv cameras but them dudes diss one another in the hood when the other ain't around..
this ain't about music at all,this beef is on another level,it is a political war between ccm and chadema,ruge and sugu repping their sides respectively..there will never be no peace,..i wanna kill right now,wa,wanna kill right now.

We nawe na kingleza chako huna akili. Leo mchana pale kisutu Mapacha wa Vinega wanashitakiwa na Joseph Kusaga Mkurugenzi wa Clouds. Sasa unawezaje kuingiza siasa hapo?

Ningekuona una akili kama ungesema mapatano yao (labda) yalikuwa yanalengo na kisiasa lakini hapo kwenye kesi, hapana. Tunapoamua kupatana nje ya mahakama, maana yake mahusiano yanaanza upya na kusahau yaliyopita lakini Clouds wamevunja mapatano kwa mantiki hiyo beef lipo pale pale.

Nadhani Clouds walipanga mambo yawe hivi tangu mwanzo. Ni Sugu na Vinega ndio walikua wanawashambulia Clouds kuwa wanahujumu mziki. Wakaamua wapatane (kupitia Ruge). Baada ya hapo Clouds wanawashtaki Vinega (kupitia Kusaga) na Sugu anaporudi kusema beef linaendelea ni dhahiri ataonekana yeye ni mkorofi. Mtego umelala kwenye mapatano baina ya Ruge na Sugu ( na sio Clouds) ndio maana matatizo yanaendelea kuwepo. Nadhani Clouds wanaweza kushinda (only for a short term) baada ya hapo vita itakua kubwa kuliko tunavyotegemea. NINUKUU! Ahsante
 
Habari zisizo rasmi zinasema kuwa kesi iliyofunguliwa na bwana Joseph Kusaga dhidi ya Vinega imefutwa. Kwa mwenye habari zaidi au aliyekwenda mahakamani atuambie hapa imekuaje?
 
Habari zisizo rasmi zinasema kuwa kesi iliyofunguliwa na bwana Joseph Kusaga dhidi ya Vinega imefutwa. Kwa mwenye habari zaidi au aliyekwenda mahakamani atuambie hapa imekuaje?
Hata mini nimesikia hizi fununu,ngoja tusubiri jioni
 
Taarifa yao ni hii (source ni facebook page ya kinega)

TAARIFA KWA UMMA:
LEO MAJIRA YA SAA 7 VINEGA WENGI WALIKUWA PALE MAHAKAMA YA KISUTU ILI KUWEZA KUJUA NI MADAI GANI YALIYOWAFANYA WAITWE MAHAKAMANI......MADAI AMBAYO KWA MUJIBU WA KARANI WA MAHAKAMA AMBAYE KESI HIYO ILIKUWA IMEFUNGULIWA JALADA NAMBA 294 KESI YA MADAI YA MWAKA 2011...HAKIMU ANAITWA MOSHI NA KARANI WAKE ANAITWA GRACE ALIWAAMBIA VINEGA KUWA KESI ILIKUWA JANA JAMBO AMBALO SIO KWELI NA PILI KESI ILIFUTWA JANA. TUNAYO MASWALI MENGI SANA TUNAYOJIULIZA JUU YA MADAI HAYA AMBAYO MPAKA SASA VINEGA HAWAJAYAJUA. ISSUE
IPO CHINI YA KITENGO CHA SHERIA NA MUDA SI MREFU TUTAUAMBIA UMMA WA WATANZANIA NINI
KINAFUATA JUU YA MSALA HUU WALIOJITAKIA WAFU FM.....!!!! TUNAPENDA KUTOA SHUKRANI ZA DHATI KWA WADAU NA VINEGA WOTE WALIOKUJA KUTOA SAPOTI KWA MAGENGE YA MWENGE NA ANTIVIRUS KWA UJUMLA. TUNAJUA WENGINE WALISHINDWA KUJA KWA KUBANWA NA MAJUKUMU ILA HAKIJA ARIBIKA KITU KWANI BADO TUKO PAMOJA.
 
Sidhani kama Sugu anaweza kuwa tatizo! nadhani ISSUE hapa shule (na kwa hili atajikuta alichosaini sicho na probably alisaini order ya kuwashitaki wenzie, na yeye mwisho wa siku atakuwa shahidi against VINEGA)
 
Mh! Me napita tu naenda hapo mtaa wa jiran

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
We nawe na kingleza chako huna akili. Leo mchana pale kisutu Mapacha wa Vinega wanashitakiwa na Joseph Kusaga Mkurugenzi wa Clouds. Sasa unawezaje kuingiza siasa hapo?

Ningekuona una akili kama ungesema mapatano yao (labda) yalikuwa yanalengo na kisiasa lakini hapo kwenye kesi, hapana. Tunapoamua kupatana nje ya mahakama, maana yake mahusiano yanaanza upya na kusahau yaliyopita lakini Clouds wamevunja mapatano kwa mantiki hiyo beef lipo pale pale.

Nadhani Clouds walipanga mambo yawe hivi tangu mwanzo. Ni Sugu na Vinega ndio walikua wanawashambulia Clouds kuwa wanahujumu mziki. Wakaamua wapatane (kupitia Ruge). Baada ya hapo Clouds wanawashtaki Vinega (kupitia Kusaga) na Sugu anaporudi kusema beef linaendelea ni dhahiri ataonekana yeye ni mkorofi. Mtego umelala kwenye mapatano baina ya Ruge na Sugu ( na sio Clouds) ndio maana matatizo yanaendelea kuwepo. Nadhani Clouds wanaweza kushinda (only for a short term) baada ya hapo vita itakua kubwa kuliko tunavyotegemea. NINUKUU! Ahsante
safi sana mkuu
 
unajua kila binadamu hajakamilika,.sugu kazoea kushangiliwa sasa anajua kila afanyalo watu watamshangilia,huo ni upumbavu na akili za kitoto,mara ya kwanza ulivypatana na ruge uliwa,diss wenzako vibaya(vinega) ss leo umekuja na upuuzi wako hapa,.nendeni mkakae na vinega wenzio mkaendelee kuimba matusi yenu kwani wakati mnaanzisha hilo group hatukuwepo. tuna mambo mengi ya kufikiria sio hizo pumba zk.,!!
:crying:
UKIPENDA KUSHANGILIWA,KUBALI PIA KUZOMEWA.
 
ni wazi mpaka leo Clouds wanawadiss wapinzani CDM kwahyo maafikiano yalikuwa facial kuliko uhalisia.. hii redio ni ttzo
 
Aachane nao tu,utabishanaje na mashosti wale? Anajidhalilisha bhana
 
Vinega kwangu nikama wanaharakati wa mapinduzi ya mziki wa kibongo so support yangu kwao niya asilimia mia

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom