Recent content by tsarbomb

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mafuta bei juu tatizo liko wapi??

    Nashukuru maeneo mengi bia hazijapanda bei.....
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kazi na Bata ( Work and Live ) — what do we mean?

    Sasa nasikia mkaazi mkuu wa magogoni lugha ya merikebu hii ana 'aleji' nayo vipi atapata ujumbe huu kuntu kabisa...?? Hata wale wanywa maji ya kijani pale mtaa wa lumumba wataielewa kweli....?? In short it is a nutshell thing but very nice one of course we need bread and rose, bread n' butter...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi Kwa Rais Magufuli kuhusu yanayoendelea kwenye ununuzi wa Korosho.

    Wewe utakuwa kangomba, mbona wakulima wanyonge wanapongeza juhudi
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jeff Koinange met Mengi

    Mungu anatulaani sana waafrika, Jeff yuko poa sana na ana maisha mazuri tu, all in all ana inspire a lot of people, pia najifunza watu wana negative attitude ya kazi without any reason, ofcoz Jeff ana maboss wake lakini kama anavuta mpunga mkubwa na anaishi maisha ambayo wengi wa napenda what...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Dah watu tafsida... Barrraaaa
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tunapoelekea siyo pazuri

    Hahaha..... Wafia serekalee ya kijanee mna mbwembwee... [emoji3][emoji3]
  7. T

    JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa Tanzanite umepungua, migodi inayofanya kazi ni chini ya 20% tu

    More than a word... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ujumbe murua kabisa toka kwa Fatma karume

    Khaazi na Bhaata...... [emoji555][emoji490]
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mwanza wa Rayvany na diamond platnumz, huu una kiitikio cha 'nyegezi'
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kazi na bata vs hapa kazi tu

    Kazi na bata kama ilivyo bread and butter.... [emoji506][emoji490][emoji542][emoji555][emoji555][emoji541][emoji538][emoji567][emoji565]
  11. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama una korosho na huna shamba hutalipwa

    Tangu mtetezi wa wanyonge amesaidia nini..?? [emoji51][emoji51] Zaidi ya vilio tu kila sehemu, kama Mungu ameshindwa basi shetani (na alaaniwe) basi husimama sehemu yake, tunampenda Mungu kwa sababu anatimiza majukumu yake ipasavyo, sasa mtetezi wa wanyonge anapefeli bila sababu ya msingi basi...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Dkt Bashiru amtaja Membe kwenye sakata la korosho

    Ah.... Hahahaha..... Eti tikiti maji kama DAB, ile kunako chama kubwa kuna balaa kwa kweli...... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Huu sasa ujinga.... Utakuwa magamba ww
  14. T

    JamiiForums Tanzania MEMBE ALONGA: Ashangazwa na namna alivyoitwa na Bashiru, amuita Musiba mwongo, mzushi na mfitini

    Mjinga wewe, kizazi cha dizaini hii ndio inabidi kipotee Tanzania, coz uchambuzi wako uko kinadharia zaidi na hisia binafsi, kama ikitokea taifa likajitambua rais hupatikana kwa sera zake, masuala ya makundi hayawezi epukika, lakini mbaya zaidi hili bandiko lako linakera kwa sababu linaendekeza...
Back
Top Bottom