Recent content by Trueboy

  1. Trueboy

    Nahisi kama nimefikia hatua ya Kukata Tamaa kiwango cha Mwisho. Naomba msaada wenu Ndugu zanguni

    Hii imeniumiza sana , kwanza umefanya jambo iema sana ku share issue yako badala ya kunaki nayo mwenyewe, pia umekua jasiri sana mtu mwingine angekua ashafanya maamuzi magumu kama kujiua nk , as long as unapumua mshukuru Mungu na kaza buti “ there’s a way out”. Mimi nashauri uanze kwa kuuza gari...
  2. Trueboy

    Njia rahisi ya kuhamia Australia na Spain

    Nakubali sana watu wenye uthubutu, wacha nikumegee kidogo ninachokijua au watu wanavyofanya, ni kucheza na education visa, ila inabidi uwe na pesa kiasi za kuanzia, unahakikisha umeapply chuo either scholarship au kujilipia then unahakikisha umepata admission letter unaianza safari. Ukifika...
  3. Trueboy

    Njia rahisi ya kuhamia Australia na Spain

    Asante sana wacha tumkaribishe ndugu Parabora aje atupe mawazo na uzoefu wake.
  4. Trueboy

    Njia rahisi ya kuhamia Australia na Spain

    Njia rahisi kuhamia Spain Njia rahisi kuhamia Spain
  5. Trueboy

    Njia rahisi ya kuhamia Australia na Spain

    Kama unaweza kutupa in details itakua poa sana. Njia rahisi kuhamia Spain Njia rahisi kuhamia Spain huo ni uzi mwingine niliouweka kuhusu SPAIN.
  6. Trueboy

    Njia rahisi ya kuhamia Australia na Spain

    Muendelezo.... Kwenye kila hustle huwa kuna vikeazo vyake , Baada ha kuelezea mawazo yangu juu ya namna mtu anaweza hamia Australia wacha niongelee niliyosikia kwa upande wa Spain. Yafuatayo Ni maelezo pia niliyopata toka kwa mtu ambaye rafiki yake alishatumia hiyo njia. Ni Mtu wa Morocco...
  7. Trueboy

    Series ninazozifuatilia hadi sasa

    ITAEWON Class ni kati ya series za Kikorea zilizonirejesha kwenye game upyaa baada ya kuzitema kwa muda... Itaewon Class ina u-unique sana ukiachana na mvuto wa warembo waliomo humo Hustle za Park-saeroyi na DanBam yake si za kitoto. Baada ya Itaewon nimeshika kitu kinaitwa “Extracurricular”...
  8. Trueboy

    Njia rahisi ya kuhamia Australia na Spain

    Habari wana jamvi , imekua ndoto yangu ya muda mrefu kutaka kusogea mbele kidogo na kubadilisha upepo wa bongo kutokana na factors nyingi tu ikiwemo ugumu wa maisha pamoja na uvunjifu wa demokrasia nk. Nashukuru Mungu nimeweza kupiga hatua moja na kutua nchi mojawapo Asia kimasomo ila sitamani...
  9. Trueboy

    Nikki Mbishi Amvaa Salama Jabir

    Oh kwa mtazamo huo yupo sahihi, Salama ana bias kwenye kazi zake.
  10. Trueboy

    Nikki Mbishi Amvaa Salama Jabir

    Haha Nikki yupo na point , ila Skuizi watu wana tafuta Viewers kama sio msanii maarufu au Infuencer kwa namna yoyote Salama sio rahisi akuweke kwenye kipindi chake, hata kwenye vipindi vya redio focus kubwa ni viewers/listeners kama huwezi waletea unakaa pembeni. Pia kuna wasanii wengine...
  11. Trueboy

    Je, kuna kabila la Wamasai na Waarusha?

    Wamasai na Waarusha ni makabila mawili tofauti japo Yana muingiliano wa tamaduni kama mavazi, lugha (japo matamshi hutofautiana kidogo) vyakula, nk. Waarusha huwa wanapatikana maeneo ya Meru Arusha Mjini mpaka Namanga na watu huwachukulia kama class ya Wamasai walioendelea au civilised na sio...
  12. Trueboy

    Kwani lazima mvae hizi chupi?

    Hahaha watu mna vituko, huu uzi nacheka tuu[emoji23]
  13. Trueboy

    Wanaume nawakumbusha kuoga kipindi hiki cha mvua

    Lazima Kuna wadada pia Hawajaoga leo, wape tahadhari hizo pia.
  14. Trueboy

    Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

    [emoji23][emoji23] Nimejikuta Natamani na wewe nikuone.
Back
Top Bottom