Recent content by Trueblue

  1. T

    Kwanini katika Nchi zote Afrika, ni Kenya tu!

    Kenyans Are Very Arrogant By Nature.Ni Watu Wapendao Kujitapa Na Kuwananga Watz Kwa Majina Mengi, Hii Imeleta Hofu Na Kutojiamin Kwa WTz.
  2. T

    Ni lini Rais wetu amewahi kuongea na Wanafunzi wa UDSM?

    Hadhi Ya Udsm Imebaki Kwa Wahadhiri Tu.Udsm Ilikuwa Enzi Za Miaka Yetu.Saa Hv Hamna Kitu.Sio Kisima Cha Fikra Tena.
  3. T

    Msaada: Nmekatwa mshahara wakati sijapokea mkopo bado

    Hamna Cha Benki Hapo We Sema Tu Hao Ni Bayport, Letshego, Blac, Nufaika, Abc, Tunakopesha Ltd, Maboto, Platinum Credit Nk.Mfate DHRO Kama Upo Gvt Asimamishe Makato.Mpaka Pale Loan Ikiingia. Nachosikitika Ni Kwamba Watumish Wengi Hawakopi Hela Kwa Ajr Ya Maendeleo.Wengi Wao Hukopa Kwasab Ya Shida...
  4. T

    Ushauri: Ni kozi gani VETA inamfaa binti ili ajiajiri

    Kazi Za Ususi Saloon Au Uhotelia Ni Nadra Sana Kuja Na Ubunifu, Zimetapakaa Mno.Halaf Na Ww Usimfunge Huyo Dogo Ajiajiri Tu Hata Akiajiriwa Sio Mbaya Endapo Tu Kama Kuna Maslah.Pia Tambua Mazngira Ya Kujiajiri Seriously Kwa Mwanamke Ni Kazi Sana Kwasab Ya Nature Ya Course Wanazopendelea Ama Wao...
  5. T

    Ungelikuwa wewe Ungelifanya nini?

    Delete Namba Yake.Then Warn Him Very Sharply Asithubutu Kuendelea Kuzungumza Kinyaa.Mm Ningefanya Hvyo.
  6. T

    Watu 5000 walifariki dunia mwaka huu (2014) wakizamia

    Waliozamia Wakielekea Wapi Mbona Sjaelewa Vzuri.
  7. T

    Idris na Samantha ni kama penzi limeanza

    Sasa Nae Huyu Dogo Wetu Awe Msimamo.Coz Kuna Wakt Alipokuwa Akihojiwa Kwenye Dialogue Room Alisema Anampenda Ella, Siku Nyingne Akasema Anawapenda Wote Samantha Goitse.Heri Atulie Na Huyo Huyo Sasa
  8. T

    Clouds Media mmemfanya nini 20%?

    Sio Bangi Tu Pia Ni Mlevi Huyo Dogo Kupindukia.Mara Ya Mwsho Nilimwona Geita.Niliambiwa Alikuwa Anatunzwa Na LiKahaba Fulani,
  9. T

    Yupo wapi Lady Mariam aliyeimba Tinda tine?

    Mbona Alishafariki Toka 2007.
  10. T

    Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

    Twendeni Tukapge Kura Tukijua Wazi Kwamba Mwenyekiti Wa Kijiji Au Mtaa Ana Uwezo Wa Kutatua Kero Ndogondogo Tu Mf. Ulinzi,kuptsha Barua,kusuluhsha Mizozo etc, Miradi Kama Maji, Umeme, Zahanati, Ni Jadi Ya Siasa Za Uwongo Za Tanzania.
  11. T

    Majina ya kizungu yalivyoharibiwa na waswahili

    Hii Inaonyesha Ni Jins Gan Wazungu Wanavyotawala Tamaduni Zetu.Leo Hii Hata Majina Ya Wanetu esp Wa 2000's.Mostly Majina Yao Ni Brian, Evance, Joel, John, Eve, Irine, sele, khalfan, Faisal, Zulfa Au Vivian.Tena Siku Hz Kuna Katabia Ka Kuyapa Uzungu Hata Majina Ya Kiasili Mf. Jina Kama Wasira...
  12. T

    Shule za Roman Catholic si rafiki tena na masikini, Ada yao ni Zaidi ya Shule binafsi

    Sioni Haja Kwa Baadi Ya Hizi Taasisi Za Dini Kuendelea Kunufaika Na Misamaha Ya Kodi.Tutambue Anaye Blame Ni Mkatolik As Well.Jaman Hem Tuwe Concerned,joining Fom Ni Elf 30,shule Ya Church Whose Primary Aim Ni Kutoa Huduma.Ipo Haja Kwa Serikali Kuja Na Mamlaka Ya Udhibiti Ktk Sekta Ya Elimu Il...
  13. T

    Huwezi Kufanikiwa Kimaisha bila ya kuwa na mwanamke hapa duniani

    Kuna Msemo Unasema ''To Women Money Is the Second God'' kwahyo jiongeze
  14. T

    Tengeneza 50,000 kwa siku

    Tumia Luga Ya Taifa
  15. T

    Kundi la Makoma

    Waliwahi Kuja Dar Nafikiri 2002.Kuna Wakt Walihamia Uholanzi. Kilichowaponza Ni Kuacha Kuimba Kilingala Na Kugeukia Kingereza. Waliharibu Sana.Mimi Nilivutiwa Sana Na Wimbo Wao Ktk Album Ya Kwanza Uitwao ''Mwinda''
Back
Top Bottom