Recent content by true man zero one

  1. true man zero one

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    hao n wa promotion hata usihangaike mtu
  2. true man zero one

    JamiiForums Tanzania Hotel management

    chef wa kupka au unahtaji mpsh alie somea??, kua specific
  3. true man zero one

    JamiiForums Tanzania Kansiime apata mpinzani

    kansiiime n shdaah jamaaa bado sana
  4. true man zero one

    JamiiForums Tanzania Dada na sharobaro kwenye daladala

    hahaha
  5. true man zero one

    JamiiForums Tanzania Misemo ya viongozi wa kisiasa Tanzania

    indeed.wa2 wapoteze uhai wao kwaajili ya wewe kuingia ikulu?so ukiingia utarudisha uhai wao?
  6. true man zero one

    JamiiForums Tanzania Sheria za jela

    kweli jmn...
  7. true man zero one

    JamiiForums Tanzania Zawadi hizi ukimpa binti atakukumbuka

    iiiiiiiiiiieeeeeeeeee aseeeeeee
  8. true man zero one

    JamiiForums Tanzania To all good and hardworking men out there

    #gorgeusmimi bas nseme umetupa somo...hasa mm aseee
  9. true man zero one

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    naaamini ktk hilo #kukuwakienyeji
  10. true man zero one

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Tamalisa ndugu yangu..naamini si mimi peke yangu mwenye uhitaji huo...ki ukweli nisiseme kitu ila MUNGU anaijua DHAMIRA iliyo ndani ya moyo wangu.
  11. true man zero one

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    asante ndugu #beautifulonyinye naamini yupo na anatenda...ipo siku najua kila pito lina mwisho wake.
  12. true man zero one

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Wanaoweka matangazo ya kutafuta Kazi

    Aisee kweli kbsaaaaaaaa tena hasa mabinti jmn. Wanapotafuta kazi na wakahitajika kwenda kuonana na huyo mtu, ki ukweli ushauri wangu wasijiamini kuptiliza kwa maisha ya sasa....maisha ambayo kila mtu ana shida ya pesa...na wengine wananjia zao za kupata pesa. Soo kina dada chonde chonde...
  13. true man zero one

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    jaman naitwa SAM naishi dar-es-salaam...ni kijana mdogo nimezaliwa mwaka 1991 huko masama kilimanjaro...nimezaliwa ktk familia ya kikristo inayomjua mungu..baba akiwa mchungaji mama akiwa mfanyabiashara tu wakawaida...lkn sijui n mipango ya mungu sijui ya shetani..wazaz wangu hawakuweza kudum...
Back
Top Bottom