Ukombozi ni lazima hasa watu wanapouhitaji, nataman 2015 iwe kesho tuwaoneshe ccmafisadi tulivyowachoka, matatizo ya taifa letu ya umasikini,udini,elimu mbovu,nk wamesababisha wao, viva chadema viva ukomboz wa taifa. mimi ccmafisadi sidanganyiki tena