Ni hatima ya CHADEMA ndani ya jiji la Mwanza?

Ni hatima ya CHADEMA ndani ya jiji la Mwanza?

Kwa muda sasa kumekuwepo na habari mbali mbali kuhusiana na chama cha CHADEMA ndani ya jiji la mwanza! kiukweli wananchi walipomchagua Wenje na Kiwia walitarajia mabadiliko makubwa kinyume chake kila kitu kimezidi kudorora!

Je CHADEMA kujaa watukana matusi ni tija kwa taifa?+
Hii nayo ni thread ya sh 7000?
 
Kwa muda sasa kumekuwepo na habari mbali mbali kuhusiana na chama cha CHADEMA ndani ya jiji la mwanza! kiukweli wananchi walipomchagua Wenje na Kiwia walitarajia mabadiliko makubwa kinyume chake kila kitu kimezidi kudorora! Je CHADEMA kujaa watukana matusi ni tija kwa taifa?+
Wewe unaleta hoja za kishamba humu JF na hii inachangiwa na ugeni wako, unaweza kutuelezea Mgombea Urais wa CCM anapompigia kampeni mgombea ubunge wa CCM na kusema Mkichagua Upinzani serikali haitawaletea maendeleo huwa anamaanisha nini?
 
Mleta uzi kwanza shika serukamba moja, mimi nipo mwanza, CDM ndiyo habari ya mjini, bila shaka mleta uzi upo kantalamba.iji la mwanza! kiukweli wananchi walipomchagua Wenje na Kiwia walitarajia mabadiliko makubwa kinyume chake kila kitu kimezidi kudorora!

Je CHADEMA kujaa watukana matusi ni tija kwa taifa?+[/QUOTE]
 
Na umejiunga jana na hizi ndo nondo zako...??
Dah kweli magamba mmeshikwa pabaya !!

Kwa muda sasa kumekuwepo na habari mbali mbali kuhusiana na chama cha CHADEMA ndani ya jiji la mwanza! kiukweli wananchi walipomchagua Wenje na Kiwia walitarajia mabadiliko makubwa kinyume chake kila kitu kimezidi kudorora!

Je CHADEMA kujaa watukana matusi ni tija kwa taifa?+
 
Kwa muda sasa kumekuwepo na habari mbali mbali kuhusiana na chama cha CHADEMA ndani ya jiji la mwanza! kiukweli wananchi walipomchagua Wenje na Kiwia walitarajia mabadiliko makubwa kinyume chake kila kitu kimezidi kudorora!

Je CHADEMA kujaa watukana matusi ni tija kwa taifa?+

Achana na fikra mgando. Wenje na Kiwia ni serikali? Wao ni wasimamizi wa bajeti za serikali, niambie ni wapi na lini serikali imetenga bajeti wakashindwa kusimamia? Unataka mishahara yao ndio ilete maendeleo..au umeamua kufanya propaganda?..simamia ukweli. Kimsingi huna hoja mkuu
 
Matokeo ya mkutano
wa Kinana Morogoro ni CHADEMA kushinda uchaguzi wa vitongoji viwili kule
Ruaha ambapo wananchi walihoji ushiriki wake kwenye UJANGILI. Kinana ni
Jangili Sugu, toka enzi hizo ni Mwanajeshi

Chadema mlijitahidi kwa kupata viti 2 kati ya 20
 
Hizo ndizo siasa zao usitegemee aina nyingine ya siasa kutoka kwa wabunge hawa
 
Hatuwezi kuchangia kila upuuzi unaowekwa humu ,hii thread yako haifikirishi kabisa , halafu cha kusikitisha thread za maana zinaondolewa , ya kipuuzi kama hii inaachwa ! Aisee yaani Mstahiki MATATA Ndiyo uwezo wako unaishia hapa kweli ?
 
Tatzo watu hawaelewi, ukombozi na maendeleo yanaanzia akilini, chadema wamekomboa akili za watz sasa watz wanajua kila kit na kwa sababu hiyo issue ya maendeleo inawezekana tena kwa haki kwa ktmia rasilimali zet na si kifisadi
 
vile vile kuna mtu anaitwa martin shigela,sms zake zimedakwa anataka akapumzike na mke wa mtu visiwani zanzibar,huu nao ni ugaidi wa mapenzi mkuu au?

anataka amuue mke wa watu!hana hata huruma huyu shigela,si atulie afe mwenyewe!
 
Usikurupuke, ukitaka kuijua Mwanza kamuulize Mhe.Mangula na Mhe.Pinda watakusimulia yaliyowakuta!
 
Back
Top Bottom