Recent content by truckdriver

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hakuna ndege inayoingia na kutoka hapo Dar es salaam ??

    Ndio kuna mtu alikuwa aondoke na KLM na mwingine Emirates leo wameshindwa
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Amazon.com naipata Dar gharama ni ngapi? https://www.amazon.com/Lithitech-Cordless-Electric-Keyless-Variable/dp/B0DG96L59F
  3. T

    JamiiForums Tanzania Je Umeshaanzisha Biashara yako?

    Duka la kawaida la mangi ambalo halihitaji Brela...huduma unatoa?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Maharage ya njano yanauzw

    NAomba mawasiliano, upo Bunju sehemu gani
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu mwenye wazo la Kibiashara ambalo litatusaidia kutengeneza pesa nyingi

    1. Materials testing laboratory kwa ajili ya ku test materials kwenye miradi ya barabara, nyumba, mabwawa etc (Materials Engineers wengine inabidi wapeleke samples South Africa kupima) 2. Olympic size swimming pool (Olympic Aquatic centre) ..Training centre kwa ajili ya ku train wana michezo...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mafundi wazuri wa Nissan Duals

    mr. IST wako vizuri wao wanadili na Dualis na Xtrail tuu kila kitu wanacho...diagnosis ni bure
  7. T

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    4:34
  8. T

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

    Ninayo 13.5 mil ...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ratiba za minada ya wiki mkoani Dar es Salaam

    Kibamba sehemu gani
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani kutumia Energy Drink?

    Si usome kwenye hiyo chupa ya mo kila kitu kimeandikwa hapo
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani kutumia Energy Drink?

    Mo energy sio energy drink .... ile ni juice tuu(carbonated drink)
  12. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari la Uba/Bolt

    Bosi una gari nini tupate kazi
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa magari ya Uber/Bolt, tupeane mbinu za uendeshaji wa hii biashara

    Mimi natafuta mtu/kampuni inayotoa Uber/Bolt kwa mkataba.....labda ndani ya uzi huu ninaweza pata mwanga.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kupaka rangi nyumba kunahitaji kibali. Nani wanatunga Sheria hizi?

    Wapi huko? Well mapato yanatafutwa kwa nguvu maana kibali si kina fee!
  15. T

    JamiiForums Tanzania Maji ya chupa ya Kilimanjaro yameanza kupotea sokoni Dar

    Mbona Hill water nayo ni ya mchaga ...au wachaga wanabaguana wenyewe????
Back
Top Bottom