Recent content by TRUCK DRIVER

  1. T

    JamiiForums Tanzania Tamko la serikali ya Tanzania kuhusu Kenya kuzuia magari ya Tanzania kubeba watalii Kenya

    Nisawa kutanua huu uwanja wa JNIA lkn fikiria vita iliyopo ni KENYA vs TZ kuhusu utalii ndugu.Vivutio vingi vya utalii viko kaskazini mwa TZ na ili mtalii afike kirahisi akitoka ULAYA ni bora ashuke JOMO KENYATTA ambapo ni karibu sana na Arusha kuliko ashuke JNIA(DAR) ambapo ni almost 600kms to...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaingilia Bunge kuzuia suala la Escrow lisijadiliwe!

    Nahuku CHENGE yumo!!!?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya walio wengi na walio wachache

    Ameeeeeen
  4. T

    JamiiForums Tanzania Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

    dah aayaaa,poleni wafiwa duh,Mwanyezi Mungu amlaze mahali pema peponi,Amina.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Green Guuard Arusha - CCM, J.Mjusi anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za ujambazi

    Hee ni huyu alikuwa anatishia Arusha tangu nipo Arusha Sec?,mbona nilisikia kapigwa risasi miaka mingi tu!,dah huyu ni balaa anapita mahali ambapo hata dole gumba kupita ni shida. Ndo maana akaitwa 'Mjusi'
  6. T

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa kimataifa wa ndege wa Kigali watajwa miongoni mwa 7 bora Afrika.

    Nakuunga mkono ndugu fikiria kwa kashfa kama ile ya ndege kulazimika kutua kwa dharura pale magereza Arusha(Kilimo Anga) na kumbe ni lizembe limoja limevimbiwa likasahau kazi,na hakuna aliewajibishwa,kuna haja gani ya kumsifia hata huyo Mwakyembe!!? Fikiria rubani angeshindwa kutua...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ulikuwepo enzi za DUKA LA KAYA??

    Khaaa wewe nakukubali,yote hayo na bado unamkubali mwalimu!!?,we mwenzangu japo mi sikula hiyo Yanga wala Burga
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa umeme nchini hadi machi 2014

    Sasa na wewe siuongeze 'K' hapo mwanzo wa jina lako tujue moja!
  9. T

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Mh Mathayo wapare wagawiwa mahindi.

    Safari hii Mathayo hatoki,hata kura za maoni CCM hpiti
  10. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania watatu mbaroni Afrika kusini katika Jaribio la Mauaji wakishirikiana na Wanyarwanda!

    Si kweli,pasport zenyewe zimeandikwa"Kuimiliki pasport sio uthibitisho kwamba ww ni raia wa nchi husika!" Sijui kama ulisoma hiyo?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kutoka ripoti ya UN: Tanzania na Rwanda zilishapigana!

    Maelezo yote ya muhimu ndo umeyaelewa isipokuwa hilo la mama Salma kuwa ndugu na Habyarimana au ndo nawe umeshaamini propaganda za Himaya ya Hima? Tuwe wazalendo,wameungaunga tu hao wasitutishe,lkn tusiwadharau,au basi na akina Karume wawatetee watutsi basi
  12. T

    JamiiForums Tanzania Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

    Nawewe ni walewale WAHIMA,urudi kwenu na mizigo yako kabla hujarudi na nguo zako tu.Fanya hima
  13. T

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Strabarg: Kielelezo cha ujinga wetu!

    Acha dharau nawewe,nami pia yalinikuta hayo hayo pale korogwe,naenda kimara nikakutana na magari yanyotoka kimara tukazibiana njia,hakuna mahali pa kupita kwa masatuko pale.Fikiria hata askari hakuna na alama pia hakuna.Hao mgambo wa kampuni wanaziba viupenyo vyovyote ili tuwape pesa ndo...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Strabarg: Kielelezo cha ujinga wetu!

    Mungu wangu,ina maana Lowasa ndo aliuasisi kabla ya kutimliwa!!,hii ni ile mvuu ya mabomu aliyotukosa nayo ametukamatia kwenye barabara.Huyu mamvi bure kabisa
  15. T

    JamiiForums Tanzania Zijue kanda 10 za Tanzania chini ya uongozi wa CHADEMA

    Sio kwa Lisu tu,kuna kanda ya Nyanda za juu,kanda ya Kaskazini(ambayo huipendi) na Kanda ya Kati (ya Lisu kama unavyotaka) zote hazina m/wenyeviti.Ilikupasa uulize na sio kuonyesha chuki kwa Lisu.magamba ww.
Back
Top Bottom