Naona kama shughuli sasa imekuwa rasmi. Maduka ya wamachinga yameanza sehemu pembezoni mwa interchange ya Kijazi na Morogoro road.
Je watendaji hili wanaliona au wanasubiria mpaka kipele kiwe jipu ndo waje watoe suluhisho. Ni aibu kuona kila mahala wamachinga wamezagaa bila udhibiti wowote.
Kuna hili sekeseke la HALMASHAURI kupima na kuuza viwanja sehemu mbalimbali za nchi. Viwanja hivi vinauzwa kupitia mifumo mbalimbali ikiwemo Tausi.
Ni kweli viwanja hivi vimepimwa lakini changamoto kubwa ni kwamba baadhi ya maeneo wale locals wanakuwa kama hawajashirikishwa au kama...
Sawa...naomba nenda na ubalozi wa Hispania, utuamnie tatizo ni nini. Maana naambiwa watu wanakaa hapo nje kwenye jua kuanzia saa kumi na moja asubuhi Hadi jua linapoisha ukali wake.
Ni Jambo la kushangaza kwamba licha ya maendeleo ya teknolojia na uwepo wa fibers bado abiria wa SGR wanakosa mtandao ndani ya train wakiwa safarini.
Hili ni Jambo la kushangaza na linapaswa kufanyiwa kazi Kwa haraka Sana. Yaani watu tushindwe Fanya biashara zetu kisa tupo kwenye SGR hapana...
Ni ajabu kuona zile juhudi zilizofanyika kusafisha jiji miaka ya nyuma zinapuuziwa kutokana na watendaji kutokufanya majukumu yako ipasavyo.
Nachojiuliza hivi vibanda vinavyochipukia kama uyoga chini na pembezoni mwa daraja na Songas hamvioni. Au mnasubiria mpaka maduka yawe makubwa ndo mje...
Habari wadau.
Sijajua ni macho yangu au nini. Hii design ya hivi vituo sijui imezingatia kitu gani maana havivutii ata kidogo.
Inamaana wahandisi wameshindwa ata kuiga ramani ya vituo vya zamani walivyojenga wenzako?
Pia cha kushangaza vituo hivi vimechoka kuliko vituo vilivyojengwa phase ya...
Hizi ndo hints;
1. Wengi wao wanahali mbaya
2. Wengi wao hawana ela
3. Wengi wao huwa wanahisi wanataka kuibiwa muda wote ingawa hawana cha kuibiwa
4. Wengi wao ni walalamishi.
5. Wengi wao mpaka anunue kwako ujue wamekosa mwingine, yaani wamehangaika Sana. MTU yupo radhi aagize kitu china ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.