Recent content by Trouton

  1. Trouton

    Movie za mafunzo zenye maudhui ya Kikristo

    Heaven is for real.
  2. Trouton

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wewe umeshaifanya? Tupe experience yako.
  3. Trouton

    Yajue matiti ya Mwanamke na hulka zao

    Wenye maziwa yao mje mtoe ushahidi.
  4. Trouton

    Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba - Ep 2

    Kwani anakulipia kodi au nyumba ya kupanga ni hiyo moja tu?, hama hapo, .
  5. Trouton

    Sababu ya kutopenda wanaume wa aina hii

    Kwa kifupi ni kwamba, atakuwa na mwanaume mweusi ila watoto atazaa na mwengine ambaye ni mwanaume mweupe. Ukipenda boga, penda na maua yake. Ridhika na mmoja.
  6. Trouton

    Sababu ya kutopenda wanaume wa aina hii

    Kwahiyo utakuwa na mweusi ila utazaa na mweupe?
  7. Trouton

    Tumia pesa zako vizuri, kumbuka unavyokuwaga kama mgonjwa ukiwa huna pesa

    Jitahidi uwe na mfumo mzuri wa kutumia pesa unayoipata, mfano unaweza kufanya hivi; 20% ya pesa yako iweke kwa ajiri ya dharula yaani akiba. Hii hata kama haukupata dharula endelea kuiacha kama akiba, itakusaidia mbeleni huko. 50% ya pesa yako iwe ya matumizi ya lazima, mf; usafiri, chakula...
  8. Trouton

    Video: Angalia Mwizi Bonge anavyoiba

    Kama jengo limewekewa mfumo wa camera basi waweke na control room ili kuwe na mtu wa kuangalia vitendo kama hivyo na kuchukua hatua kwa haraka. Sasa kama hapo mtu anaiba na kamera inaonyesha vizuri ila hapakuwa na mtu wa kuangalia hizo video hadi mwizi anapotea. Badala yake mtu akilalamika...
  9. Trouton

    Naomba ushauri: Rafiki yangu ana tabia ya kutongoza kila binti ninayekuwa naye kwenye mahusiano

    Punguza ukaribu na huyo unayemuita rafiki yako. Hama kwenye nyumba za kampuni uende mbali na hapo ili uwe na privacy kwenye mambo yako. Si vema kila kitu unachofanya umshirikishe rafiki yako, vingine vibaki kuwa suprise, aone matokeo tu hata kama akilaumu kuwa haukumwambia.
  10. Trouton

    FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

    Milioni 30 zimewaponza Prisons. Bora wangefukuza mwizi kimya kimya.
Back
Top Bottom