Recent content by Trophy

  1. Trophy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupima HIV inahitaji moyo

    Umenifurahisha sana aise aahahahaaa hivi bado unalo hilo lianamume?
  2. Trophy

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Mmmnh! Kwanini akae kwenye meza ya kioo, makochi hayapi??? Mmh Mungu ni samehe nisije nika haribu bure!!!!
  3. Trophy

    JamiiForums Tanzania Kanye West aanzisha Biblia yake, ajiita Mungu

    Kuna tofauti kubwa sana tena sana kati ya "god" na "God" akisema yeye ni "god " mimi sina shida nae ila kama ni "God " ajiangalie atakuja kupigwa pigo a "kanye magharibi "
  4. Trophy

    JamiiForums Tanzania Mwanamziki gani wa kike anakuvutia hapa?

    Shaa na mwasiti
  5. Trophy

    JamiiForums Tanzania Madhara Ya Kuvaa "Boxer" Au "Chupi" Kwa Wanaume

    Namshangaa mwanaume ane vaa chupi!!!! Acheni kuvaa chupi, bora kaptura kuliko chupi... Chupi????
  6. Trophy

    JamiiForums Tanzania Dada Zangu Nawaombeni mnisaidie

    Nasikia HQ huwa zina wapa ubaridi... Kwaio una weza uka shangaa una subiri period ikate upige mambo.. kumbe ule ubaridi ulisha mridisha gucci wako mapema sana
  7. Trophy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa staili hii wanawake hawatoridhishwa na waume zao

    Rafiki yangu ata kugegedaje wakati habari yako anayo... Kua una toa harufu ...zaidi ata kuvalia mpira na atapiga mchezo wa dakika 5 tu akisha utupa ana jifanya ka pigiwa simu.... Na mimi nilisha tafuta side chick mwingine nime tulia naku angalia tu unavyo chezewa... Ladies bahave mtalia sana...
  8. Trophy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa staili hii wanawake hawatoridhishwa na waume zao

    Mi mwenyewe na shangaa... Nilisha kua na mtu alikua poa ila ghafla nikawa sikia harufu kali sana tena sana...nguo zake za ndani zina toa harufu kali sana.. mimi nikawa najiuliza ina maana huyu mtu hasikii hii harufu au ni nn tatizo?
  9. Trophy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa staili hii wanawake hawatoridhishwa na waume zao

  10. Trophy

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa komediani maarufu Bongo, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’

    Mamaeee, jamaa yuko shambani kabisa na picha zina onekana eti mnasema sembe... Nyambafuuu mali iko shambani. Na hivi analima mpunga. Mbona ata fanya matusi mpaka mkimbiee
  11. Trophy

    JamiiForums Tanzania "Akaunti yangu ina more than billion"- Diamond Platnumz

    Ulitaka aseme ana million 100 ilione ni haki yake kua na hio... Billion 1 ni million 1000 .kaa umo.
  12. Trophy

    JamiiForums Tanzania Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

    Kwani muziki ndio una jenga nyumba. .watu wana michongo yao wanafanya wana ongeza kipato wana jenga... Labda professor Jay ndio atakua kajenga nyumba kwa mziki.. manake miaka 10 ana jenga nyumba
  13. Trophy

    JamiiForums Tanzania Kim Kardashian's Doctor warns her, 'She's having too much sex'

    Sifa kubwa ya kanye ana penda wanawake... Kim lazima achezee
  14. Trophy

    JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake Duniani: Top Tanzanians women Celebrities

    Kidoti
  15. Trophy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ndege(Roketi/Contrail) huacha mstari wa Moshi Mweupe?

    Sa siunge mwambia a Google kama wewe ulivo Google
Back
Top Bottom