Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Kwa hiyo watu huugua ninii???
Swali lako lina majibu kwenye hiyo quote,rudia kusoma vizuri
Kwa hiyo watu huugua ninii???
Kwa hiyo watu huugua ninii???
Umenikumbusha aisee, wangu alikuwa na hako kamchezo bwana, sasa mwaka jana ile naanza clinik nikamuomba twende akaleta excuses kibao, nikasema ngoja nimkomeshe. Nikaenda Hospitali, basi kila dk ananipigia anauliza eti vipi majibu!! Nikapima majibu kuja niko poa, basi nikazima sim afu nikapita kwa dadangu nikakaa hadi saa 4 usiku.
Jamaa alipunic ile mbaya! Nikarudi home nikajivisha sura ya huzuniiii! Basi ile kuniona tu na sura ya huzuni akajua kwisha habari yake! Nikaingia room kimya kimya bila hata salamu. Akaniuliza vipi wife mbona ulizima sim?Nikakaa kimya, akaendelea na maswali nikalipuka na kilio eti majibu sio mazuri.
Jamaa alinywea balaa, nikaonajasho linamtoka, kawasha feni mara kajipepea! Katoka nje hajielewi, mara kamwita first born wake, mwanaume kamasi jepesi hiloooo! Mara karudi home kaanza kulia nikamuuliza unalia nini kama ukimwi unao tayari daah! Baadae nikamuonea huruma nikamwambia ni uongo mana nilihisi alikuwa anatafta namna ya ku commit suicide. Wiki nzima mwili wake ulikuwa wa baridi kama mjusi.
ni kwamba hakuna uthibitisho wowote wa kisayansi kwamba vvu wanasababisha ukimwi na unapopima hawapimi uwepo wa vvu ktk damu yako ila wanapima uwezo wa kinga yako dhidi ya vvu. Na wanapokuta kinga ipo chini unaambiwa una Hiv+ wakat kinga zinaweza kuwa zimeshuka kutokana na sababu nying kama msongo wa mawazo, unywaji pombe bila msosi, ukosefu wa maji safi na salama, ukosefu wa lishe bora n.k na tatizo linalowafanya weng waamin uwepo wa vvu ni mdororo wa afya ambao chanzo chake kikuu ni Arvs kwan zina madhara makubwa ambayo tunaambiwa ndio dalili na matokeo ya virus vya ukimwi na ndizo hupelekea vifo vya mamilion ya watu rpg Tamalisa Katavi
Sasa nimeelewa asante sanani kwamba hakuna uthibitisho wowote wa kisayansi kwamba vvu wanasababisha ukimwi na unapopima hawapimi uwepo wa vvu ktk damu yako ila wanapima uwezo wa kinga yako dhidi ya vvu. Na wanapokuta kinga ipo chini unaambiwa una Hiv+ wakat kinga zinaweza kuwa zimeshuka kutokana na sababu nying kama msongo wa mawazo, unywaji pombe bila msosi, ukosefu wa maji safi na salama, ukosefu wa lishe bora n.k na tatizo linalowafanya weng waamin uwepo wa vvu ni mdororo wa afya ambao chanzo chake kikuu ni Arvs kwan zina madhara makubwa ambayo tunaambiwa ndio dalili na matokeo ya virus vya ukimwi na ndizo hupelekea vifo vya mamilion ya watu rpg Tamalisa Katavi
Hahahaaaaa, im not the one. By the way wangu hana habari na JFAisee nahisi ww ndie wife wangu maana alinifanyia hivyo, tofauti ni kuwa yy hakurudi saa4 usiku...but allactions is exactly the same...
Hahahaaaaa, im not the one. By the way wangu hana habari na JF
:sly:hata mke wangu hajui kabisa km naijua JF
Huyo wako kakopi kwangu..........wyf akishapima na mimi hapohapo natake advantageWanaume wengi kupima kwao ni mtihani,mie wangu tunaenda wote ila ananisindikiza tu anaangalia majibu yakitoka linafurahia utafikiri limepima lenyewe eti ukipima mke wangu inatosha wewe ndo kipimo changu
Nlipoanza clinic ikabidi na yeye apime ha ha ha ha ha jamani njia nzima hakuongea mpaka kufika kanuna baada ya majibu lilichekaje sasa!!!

Kwa iyo inawezekana ukawa ndo wewe, uwiiii! Ngoja nibadili ID
Ukibadili sitakuelewa, acha hivyo hivyo...
Wanaume wengi kupima kwao ni mtihani,mie wangu tunaenda wote ila ananisindikiza tu anaangalia majibu yakitoka linafurahia utafikiri limepima lenyewe eti ukipima mke wangu inatosha wewe ndo kipimo changu
Nlipoanza clinic ikabidi na yeye apime ha ha ha ha ha jamani njia nzima hakuongea mpaka kufika kanuna baada ya majibu lilichekaje sasa!!!
Nipo sanaaa.....!!

He he he Mr. Mangi aisee usinitanie aisee nambie nambie nini hapo mwisho tena
we unaona masihara ila huu ni ukwel uliofichwa ila ipo siku kila mtu atajua ukweli japo kwa kuchelewa ila uvivu wa wengi wa kutosoma pengine hawatajua ila vitukuu wao watakuja jua.
Umenifurahisha sana aise aahahahaaa hivi bado unalo hilo lianamume?