Recent content by TrOjAn_95

  1. TrOjAn_95

    JamiiForums Tanzania Coin ya Tera Luna yapanda thamani mara elflu ndani ya siku moja

    Naombeni huu ujuzi wakubwa
  2. TrOjAn_95

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dodoma kibiashara na kimaisha kwa ujumla

    Biashara/Uwekezaji mara nyingi huangalia nyanja nyingi...mfano tukiichukulia DODOMA kama yenyw ipo center ya mikoa mingi sana....hvyo kwenye uwekezaji wako unaeza amua pia kufanya import en export kulingana na unachotaka kukifanya kwa hii mikoa jiran iliyo zunguka jiji la DODOMA....kuhusu fursa...
  3. TrOjAn_95

    JamiiForums Tanzania Karibu kutujuza fursa zinazopatikana mkoani mwanza ambazo zinaweza fanywa nje ya mwanza pia

    Wakubwa poleni na msiba...na mwenyezi mungu atubariki tupite salama katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza moja ya muhimili muhmu wa taifa letu.....turudi kwenye hoja..karibuni tujuzane ni zipi fursa zipatikanazo jiji la MWANZA ambazo zinaweza fanyika nje ya mkoa huo....yani zikaweza kufanyika...
  4. TrOjAn_95

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Bro najaribu kuku Pm text haziji naomba unicheki 0714676898
  5. TrOjAn_95

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

    Kama mjuavyo wana JF, kuna mdudu korofi (kunguni) ambae hata ukiamua kumuachia chumba ili aspate chakula kwa muda wa miezi miwili unamkuta yupo tu anakusubiri. Sasa kama unaijua dawa nzuri au njia yoyote ya kuwateketeza hawa viumbe msaada tafadhali kwa manufaa ya wengine. Karibuni
  6. TrOjAn_95

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Habari brothers and sisters.....nna mtaji wa million 1 pia Niko home tu meanwhile muda nnao....sehemu nipo Dodoma makulu mnanishauri nifanye nini..... Ahsanten
  7. TrOjAn_95

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA GODORO

    Natafuta godoro 5* 6 liwe kwenye hali nzuri nipo dodoma 0714676898 nicheki tufanye biashara
  8. TrOjAn_95

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    ungesema eneo ulilipo ingekua atleast nafuu kwa wanaokushauri ila pia napenda kushauri wam JF kua sio lazma uanze biashara ukiwa peke yako unaweza mtafuta mtu mnaeendana ktk mawazo mkachanga na kukuza mtaji halafu mkaanza kufanya harakat pamoja
  9. TrOjAn_95

    JamiiForums Tanzania habari wandugu

    Shukrani sanaa kiongozi
  10. TrOjAn_95

    JamiiForums Tanzania habari wandugu

    unamaanisha nn mkubwa??
  11. TrOjAn_95

    JamiiForums Tanzania NAUZA LAPTOP

    yeah your right ni 650k
  12. TrOjAn_95

    JamiiForums Tanzania NAUZA LAPTOP

    ouh thank you i mean 650k
  13. TrOjAn_95

    JamiiForums Tanzania NAUZA LAPTOP

    Hp folio Core i5 Ram 6 Hdd 500 proc 2.4 & 1.9GhZ betry 3hrs price 650k tu maongezi yapo pia
  14. TrOjAn_95

    JamiiForums Tanzania habari wandugu

    cna kipya ndo kwanza nmeingia humu
Back
Top Bottom