Karibu kutujuza fursa zinazopatikana mkoani mwanza ambazo zinaweza fanywa nje ya mwanza pia

TrOjAn_95

Member
Jul 20, 2019
20
14
Wakubwa poleni na msiba...na mwenyezi mungu atubariki tupite salama katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza moja ya muhimili muhmu wa taifa letu.....turudi kwenye hoja..karibuni tujuzane ni zipi fursa zipatikanazo jiji la MWANZA ambazo zinaweza fanyika nje ya mkoa huo....yani zikaweza kufanyika katika mkoa kama DODOMA na penginepo
 
Back
Top Bottom