Weka vizuri maandishi ya bei yako usije pewa pesa hiyo ukaanza kuwatukana watu kwa matusi ya dokta Shika. Matumizi mabovu ya maandishi yasikupelekee kupata hasara.Hp folio Core i5 Ram 6 Hdd 500 proc 2.4 & 1.9GhZ betry 3hrs price 650 tu maongezi yapo pia