Recent content by tricecriss

  1. tricecriss

    Wapi Naweza Pata Ice Block/Mabarafu Maeneo ya Tabata au Segerea Wakuu...?.

    Natamani kukutana na mwenye mashine anipe uzoefu kwenye Hilo mkuu
  2. tricecriss

    Jipate Mchele super

    Karibu
  3. tricecriss

    Jipate Mchele super

    Nipo kimara korogwe
  4. tricecriss

    Jipate Mchele super

    Habari zenu wapendwa. Mchele huo super kilo 1600 ukichukua kuanzia kilo 20 tunakufanyia 1500 Delivery utachangia kidogo press order yako karbuni sana. Kwa mawasiliano tupigie kwa no 0713336158
  5. tricecriss

    Msaada kwa anaefahamu kwa undani jinsi ya kurisiti kidato cha nne

    Asante sana basi asome tu QT kama ni hivyo
  6. tricecriss

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Jamani naomba uniunge na mimi nataka kuanza kuuza cheni za english gold toka congo naimani nitapata mwongozo wa nitaupata vipi mzigo
  7. tricecriss

    Msaada kwa anaefahamu kwa undani jinsi ya kurisiti kidato cha nne

    Kuna mdogo wangu alifanya mtihani wa form 2 2004 hakufanya mtihani wa form 4 Tz. Alienda uganda akamaliza form 4 lakini hakupata cheti na sasa anataka kuitumia no yake ya form 2 kufanyia mtihani wa form 4 itawezekana?
  8. tricecriss

    Weekend Story! All is Fair in Love and War!

    Doh Lara wewe kiboko
  9. tricecriss

    Msaada wa kuijua Living Soul Organisation

    Sawa mkuu naona wapo busy sana leo
  10. tricecriss

    Msaada wa kuijua Living Soul Organisation

    Habari zenu wana JF. Ndugu yangu amepata nafasi ya kuvolunteer kwenye NGO flan ipo kigoma inaitwa livingsoul sasa hajawahi fika huko na amejaribu kuangalia profile ya NGO haijampa maelekezo ya kutosha sasa anataka kujua kuhusu allowance na uhakika wa ajira baada ya kuvolunteer yeye anatokea Dodoma.
  11. tricecriss

    Msaada wa assessment clearance na certification

    Mm nilimuuliza HR mmoja akaniambia hayo mambi yanafanya na embassy ya canada na haiitaji pesa sasa nimemwambia anaona namfanyia kauzibe.
  12. tricecriss

    Msaada wa assessment clearance na certification

    Hiyo wanajifanya wacanada
  13. tricecriss

    Msaada wa assessment clearance na certification

    Ni kweli mshahara kaambiwa ni $ 9000
  14. tricecriss

    Msaada wa assessment clearance na certification

    Habari zenu wakuu. Kuna ndugu yangu aliomba kazi kampun flan ambayo makao makuu yake yako canada. Sasa hivi karibun akatumiwa email pamoja na online interview na akaelezwa kuwa awe tayari kwenda training canada kabla ya kaz kuanza akawajibu sawa wakamtumia form mbali mbali akazijaza akazituma...
  15. tricecriss

    Weekend Story! Glory Be To God!

    watu tupo macho mida ya wanga haaa haaa haaa
Back
Top Bottom