Recent content by trezguet

 1. trezguet

  Maswi: Siwezi Kuwa Mbuzi Wa Kafara. Wezi Wakuu Wajitayarishie Kihama !

  Ndo hivyo akomae kama msabaha alivyokomaa enzi za Richmond maana huu umekuwa utaratibu mpya wa wezi wadogo kutolewa kafara na wezi vigogo
 2. trezguet

  Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

  Wanajamvi kiukweli miongoni kwa wabunge walionikera jana ni pamoja na kangi lugola ametumia muda mwingi kuleta mizaha mwisho wake kushindwa kwenda kwenye hoja pia kumpelekea tuhuma zisizo na msingi. CAG kwani kama huna cha kuongea si bora uwape nafasi wanzako we kweli kuna cord of conduct na...
 3. trezguet

  Mbowe kuwania tena uenyekiti CHADEMA

  Wewe na yeye nani hana hoja sasa huo ndo tunaoita usinichi jomba
 4. trezguet

  Mwanza ni NGOME ya CHADEMA, VIongozi halali wa CHADEMA wanakaribishwa MCHANA na USIKU

  Huna huja kaka kumbuka kiongozi ni mtumwa wa aliye mchagua kwahiyo watu wanahaki ya kuwajadili viongozi wao pamoja na chama chao.Tatizo watu wa ccm cuf mnatumika sana na huyo zzk pamoja na Mabosi zake wanao mshauri.Kwani nani asiyejua kuwa maamuzi ya kesi ya Zzk yametoka juu pia judge mwenyewe...
 5. trezguet

  Rev Msigwa: CHADEMA imeongeza thamani ya wapiga kura

  Mh Rev Msigwa ni hazina ya taifa
 6. trezguet

  Askofu na Sheikh Waapa,Kwaajili ya Zitto Tutapiga Goti na Kufunga Kwa Nguvu Zote

  We ni kijana unayetumia akili nyingi sana mr Ben saanane
 7. trezguet

  Sijawahi kuwasiliana na Mhe Emmanuel Nchimbi kwa e mail tangu nizaliwe

  Mwigulu mbona vitisho sasa polisi lazima muwe makini na mwigulu anaweza kusababisha amani ya nchi hii ikapotea huyu jamaa ni gaidi
 8. trezguet

  Now ifike kipindi tuachane na suala la ZZK

  Brother hujaeleweka huna logic ww
 9. trezguet

  Now ifike kipindi tuachane na suala la ZZK

  So what huyo kafulila ameenda NCCR wakamfukuza uwanachama kwasababu ya usaliti so inaonekana wanakigoma wengi ni ma traitor (wasalit) kwenye siasa kwahiyo bora waendelee na bongo flava na soka tuu mm nasema bora watuondolee huyu snitch ZZK
 10. trezguet

  Now ifike kipindi tuachane na suala la ZZK

  Wanajamvi ni dhahili kuwa sasa imefika kipindi suala la zzk liwekwe kapuuni then tuendele na mambo mengine ya msingi coz ipo wazi tunakaa humu ndani tunabishana na vijana wa lumumba kwa mambo yasiyo na mashiko. Mfano 1:huwezi sema zzk ni maarufu kuriko CDM.if yeye ni maarufu basi aanzishe chama...
 11. trezguet

  Tumshauri Zitto...

  Umetisha kaka we ni mkomavu sana katika kuelewa mambo pia na kufafanua
 12. trezguet

  Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

  Bunge limewaka leo hakika huu sio upepo hiki ni kimbunga lazima kiende na mawizili zaid ya wawili
Top Bottom