Rev Msigwa: CHADEMA imeongeza thamani ya wapiga kura

Rev Msigwa: CHADEMA imeongeza thamani ya wapiga kura

KIMBURU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
210
Reaction score
189
Akiongea na umati wa wakazi wa iringa mjini uliofika kumsikiliza katika viwanja vya mwembetogwa, msigwa alisema kuwa zamani ccm walikuwa wakiwanunua wapiga kura kwa kofia na t-shirts; lakini siku izi kutokana na presha wanayoipata kutoka CHADEMA, CCM wananunua wapiga kura kwa bodaboda. Hivyo amewataka vijana wachangamkie hizo bodaboda pindi Makamba na Lowasa watakapokuja Iringa lakini mwisho wa siku kura ni kwa CHADEMA kama kawaida. My take; I like the way CHADEMA wanavyo-deal na mbinu za CCM.
 
Kuanzia bodaboda, mikokoteni hadi SACCOS za vijana, kweli kabisa thamani ya wapiga kura imepanda ila nina wasiwasi wasiwe wanatununua kwa fedha ya damu na madawa ya kulevya!
 
...kula ccm,kura chadema...
 
I always admire this guy!
He is the future.
Go on Mr Msigwa!
 
CDm ni kiboko..kila anayefungua mdomo ni kilio kwa CCM.Sijui Makamba na Lowasa wakienda Iringa watakuwa na iamni km Pikipiki zao zitakuwa a msaada au dhaliliko kwani si muda watazikuta na bendera za CDM.

Mbaya kawatega zaidi, wakiacha wapa CDM watawaambia mnaona wamewatenga.
 
Huwezi kuwa mpinzani bila kuwa na akili. Mch. ana akili nyingi sana, hata akija Mbeya maduka huwa yanafungwa kwa ajili ya kwenda kumsikiliza. Huwa sisi mbeya hatutegemei ulinzi wa policcm tunajilinda wenyewe. God bless Msigwa. Kumbuka Mch. Jimbo la Kalenga liko wazi tangia leo so please andaa mgombea ili tulichukuwe. Mgimwa kafa leo.
 
Akiongea na umati wa wakazi wa iringa mjini uliofika kumsikiliza katika viwanja vya mwembetogwa, msigwa alisema kuwa zamani ccm walikuwa wakiwanunua wapiga kura kwa kofia na t-shirts; lakini siku izi kutokana na presha wanayoipata kutoka CHADEMA, CCM wananunua wapiga kura kwa bodaboda. Hivyo amewataka vijana wachangamkie hizo bodaboda pindi Makamba na Lowasa watakapokuja Iringa lakini mwisho wa siku kura ni kwa CHADEMA kama kawaida. My take; I like the way CHADEMA wanavyo-deal na mbinu za CCM.
nimekapenda hapo kakipengele. wazichukue tena kwa kasi ya ajabu. hao akina lowassa na makamba wamezitoa wapi hizo boda2 kama sio wizi wa mali zetu. zichukueni hizo bodaboda na kura msiwape kabisa.
 
nlimpendaga msigwa nikiwa iringa wakati yuko TLP alipotuambia watanzania hatujui kutofautisha kati ya maamuzi sahihi na maamuzi mazuri
 
Mafisadi waliopo ccm wako busy kuwahonga wapiga kura vijana mapikipiki, vijana wenzangu tuchangamkie hii ofa, maana ni pesa zetu zinarudi kwa mlango wa nyuma!
 
Back
Top Bottom