Habari wakuu.
Hii ni mara yangu ya kwanza kuandika kitabu kinachohusiana na biashara pamoja na mafanikio. Kitabu hiki kimekubaliwa kuwa published on Amazon na publishers nyengine zinashirikiana na Amazon ya USA na UK. Kipo digital kwenye Amazon Kindle pia unaweza kupata kopi ya kitabu. Kama...
I've wrote a business book and published it to Amazon Kindle. I've tried to write about financial success and business. My available in digital format and also paperback (physical book). You can get your copy as just as little for $2.99. Help me to show your support, Thank you.
Anyone...
TUCHUKULIE KUWA HAKUNA MUNGU
Ikiwa Mungu hayupo mimi, wewe na vinavyotuzunguka as a nature pia vingekuwa havipo kabisa. Na kwanini labda ninasema hivyo. Vizuri, nina hoja muhimu sana. Tuchukulie tunakubaliana na wanasayansi kuwa sisi tulikuwa nyani au sokwe kama ilivyo elezwa kwenye vitabu vyao...
Matarsoft inatoa huduma ya kutengeneza tovuti au website kwa wafanya biashara, kampuni na kwa wajasiria mali.
Biashara yako inahitajia website kuonekana professional. Pata huduma yetu kwa kutembelea tovuti yetu
Matarsoft.com
Au tuma barua pepe, kwenda
hello@matarsoft.com
Au Wasiliana nasi...
Unajua ndugu zangu wakiristo kuna jambo hawakulifahamu kabisa. Jesus hakuwa mungu in any way, na wala hakuwa na uwezo wakubeba uungu kwa njia yoyote kwa uhakika but alikuwa ni binaadamu aliezaliwa na mwanamke.
Kwasababu before Jesus na hata kabla ya dunia, Mungu alikuwepo. Na walipita watu...
X = 14,400.
Sana nategua kitendawili nyuma ya pazia na ninakupa faida. Unahitaja watu 14,400 kuona bidhaa yako ili kupata wateja 720. Jee ulikuwa unalijua hilo?
Ndio mkuu ila the one thing haijamaanisha maisha yako yote ufanye jambo moja bali imemaanisha fanya moja mpaka liishe na lifanikiwe ndipo uanze jengine
Saikolojia ya Mwanamke
Maelezo haya yanatoa mafunzo kuhusu tabia na akili ya mwanamke wakati anapoingia katika mapenzi na mwanaume. Na hasa mwanamke anapokuwa mrembo, fahamu atakujaribu bila hata ya yeye mwenyewe kujifahamu. Ukiweza kufaulu kwenye majaribu hayo, she feels like wow na anaanza...
Habari, natumai ni wazima nyote. Mimepamiss hapa Jamii Forums kwasababu nina muda mrefu sija post chochote na inatokana na maisha na ubize ila sio shida leo nimekuja na kanuni ya "The one thing". Hivi karibuni nimesoma kitabu kinaitwa hivyo "The one thing". Waandishi ni "Gary Keller" na "Jay...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.